Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Endelea tu kutojua
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Endelea tu kutojua
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umbea wako huo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Km Yuda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Jisikie huruAksante sana
HapanaWe ni mnyakyusa?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
[emoji106]Wakuu...
Asante kwa muda wenu.
Mimi nawatakia usiku mwema.
Tuonane panapo majaliwa..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Ila umeishi mbeyaHapana
HapanaMi mzima naomba unijibu wewe unatokea Mbeya?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Sawa mamaHapana
[emoji106]Tuwe na usku mwemaaa
Muziki: Penda Mwili Wako
Jumapili inaishiria wadau, naamini kabisa tumekuwa na siku nzuri. Kila mmoja na siku yake, wapo waloenda church leo, wapo walioenda kazini na wapo waliokuwepokuwepo tu, lazy sunday. Na kizuri zaidi ni kuwa bado tunakutana hapa na kubadilisha mawili matatu. Kapuku Forum ni jukwaa bora kabisa kwa sababu wewe u sehemu yake. Unalijua hilo.
Easy and lazy sunday ndivyo nilivyoiona leo mimi, na hata maongezi ya humu ndo yamekaa kirahisirahisi tu ilmradi tu kufanya siku iende vizuri.
Mambo ya simu ha hahahahaha, Tecno werevaa (whatever right?) ndo imeshika chati leo, hongera sana wenye tecno werevaa maaana naonaoga hata mnaweza kutuma maua. Mimi simu yangu ina simu ndani ya simu, cover la singsung, betry LG, supika za motorola, na keypads ni za tecno werevaa bila kusahau ni screen tach ya Itel6 (inafanana na Iphone). Mwisho wa siku ninaweza kuweka signature na kuingia JF kufurahia KF. Una tatizo na simu yangu?
Muziki wa leo: Penda mwili wako, yeah, love your body maana ni wewe na huwezi kuwa mwingine, kama una kakitambi ka bia na machalali basi endelea kuongeza michemsho, mwili ni wako utunze maana ni wewe unaumiliki. Fanya mazoezi ya kiaina ili uwe mwepesi, kula misosi ya maana sio kila siku wewe karanga na fanta orange.
Tuburudike na Ed leo, kuikamilisha Jumapili yetu na kuombeana kuwa wiki hii iwe ni nzuri na yenye mafanikio kwetu.
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aa wapii buku tu ila nilitumia 400 nauli 500 nikanywa fursana na mia ikabakiHa hahahahahah! Buku la nauli nimependa hapo. Hawakuongezi jero la kununua maji njiani?
SalamaaUmeshindaje
Dreams never end by fear
Safi sana shem waneKuna picha za kutaniana ziliwekwa humu watu wakawa wanatagiana ye ndio akakutagi ilee but ni utani tu
Tuko pamoja mkuuLeo mpo na akina sie
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Alisema atakuwa anaweka usiku, hiyo ya mchana tayariAmeweka mchana
Sijaona mdau pm haijafikaAngalia PM yako
Km vipi mimi nalala
Tukutane kesho
........
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aa wapii buku tu ila nilitumia 400 nauli 500 nikanywa fursana na mia ikabaki
Alisema atakuwa anaweka usiku, hiyo ya mchana tayariAmeweka mchana