Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaMara utaona
sent from my Tecno Kimeo using jamiiforum mobile app
We ni changamoto ujue
HahahaMara utaona
sent from my Tecno Kimeo using jamiiforum mobile app
HahahaToa basi hiyo mambo ya Y3+
Inajaza uzi bure
GoodDiktetaana majukumu ya kikazi
MimiTangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescendkasema wazi kazi zimembana
Leevitu vyake vipo pale pale
ObeMuziki upo km kawa
Shululukila siku magazeti yapo
JimenaKaziba pengo la Dikteta japo siyo sana
Shumiekuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao
Ila pia akina Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako
Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu yaani copy & paste .....hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha au kushindanisha kitu ambacho sisi hatujishughulishi nacho
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............
Msaidie aiseeAiseeee
Natamani ungekuwa Karibu Yaani... Mie hazikauki ndani... Ila kuna dawa ya mitishamba iliniponya kabisaa
Mpaka aje aone hii comment ni kesho... Anaquote za mchana ujueToa basi hiyo mambo ya Y3+
Inajaza uzi bure
Haleluyaa![]()
![]()
![]()
hawa waliofanya hivi Mungu anawaona
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa
U need a serious medical check up..
Kumbe ngoja
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Hahahaa..Hahaha
We ni changamoto ujue
Hata ajira ya mlinzi imeota mbawaMsimu huu sina presha ata nikikaa mwaka
Ni kweli unaweza usipende Hammer upende VitzHahahaa...
Iphone siipendi basi tuu!
Unaanzaje kuniacha nizabuliwe sasaaaSakayo ukipigwa mimi ujue sitokusaidia..![]()
Mpaka aje aone hii comment ni kesho... Anaquote za mchana ujue
Situmii VodafoneWe mtaalam Aisee
Sasa yuko mbali shemMsaidie aisee
Sent from my E5653 using JamiiForums mobile app
BitozHusna na...
![]()
![]()
![]()
......
Tuacheni na Husna wa Obe.Husna na...
![]()
![]()
![]()
......
We ni chizi ujueHahahaa..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app