Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
I like thatWala mkuu..
Mimi ndio nilichelewa kumchukua tuu!
So far namuamini sana! Wakati mwingine nakuwa siko hata Tz na nakuwa comfortable kabisa..
Just because we have a trust to one another..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Wewe unajuaAisee
Hahahaam....wewe achana nayo hii..Tecno kimeo noted
Nimeshindwa kuing'amua ni lugha gani aliyoitumia mbali na lugha ya mkoloni
Dreams never end by fear
GoodNdo hivyo thread ukisoma meanzoni utaona imejaa fujo 7bu tulikuwa wengi kama panya....walivyoanza kupungua ndo mambo ya maana yakaanza maana ilikuwa rahisi kuelewana na aliyepost ujinga tukawa tunamwambia waziwazi ndo thread ikapata heshima na watu wazima kuingia
Pia "uongozi" umechangia sasa angalia mwanzisha thread aandike post hata korokoro hapo tayari thread ishakosa heshima na mtu akipost ujinga hawezi kulaumiwa
Kuiga kitu ni jambo moja....ubunifu na maarifa ni jambo jingine
......
It is just jf joke .......where do I get the guts to be suspicious of Sakayo.Wala mkuu..
Mimi ndio nilichelewa kumchukua tuu!
So far namuamini sana! Wakati mwingine nakuwa siko hata Tz na nakuwa comfortable kabisa..
Just because we have a trust to one another..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Yes,I'm seriousSerious ?
.....,

Tuko pamojaHahahaam....wewe achana nayo hii..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Baadae kidogo bae, naingia mzigoni now...Hahahaam....wewe achana nayo hii..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
NzuriiPoa, Za weekend
Sent from my E5653 using JamiiForums mobile app
Yule kiungo mwenye mapafu..
Alikuja OT kww mbwembwe hadi tukampa jezi No. 7 ambayo hupewa wafalme wa OT..
Namzumzungumzia Memphis Depay . Ameamua kutoa wimbo wake wa Rap na kuonesha hana tuu kipaji cha mpira ila pia anaweza kuimba..
Jamaa ana 508k viewers hadi sasa toka uwekwe youtube week 2 zilizopita..
Wimbo ni huo hapo
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
I seeIt is just jf joke .......where do I get the guts to be suspicious of Sakayo.
Kwema tu karibu mkuuKwema humu bhandugu??
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Twende tukalale ...Baadae kidogo bae, naingia mzigoni now...
Una quote post za jana![]()
![]()
Sent from my E5653 using JamiiForums mobile app
ndio nilivyo huwa si ruki Mimi naanziaga nilipoishia