Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nunua omeprazole MondrayDaktari yupi broo yaan hapa natumia mipanado tu huku maralia inapimwa kama ukimwi ukitumia kale kakipimo wanatogawaga.
Sijawah ona microscope..
Nunua omeprazole MondrayDaktari yupi broo yaan hapa natumia mipanado tu huku maralia inapimwa kama ukimwi ukitumia kale kakipimo wanatogawaga.
Sijawah ona microscope..
Duuu sister kusuka hadi upelekwe?!Jamaniiii
We si umekataa kunipeleka au
AiseeeHuawei
Asante mama TecnoTunacheza
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
HahahaHiyo E56....wereva ndio simu gani?
Utani tuu jamani
RadioVFD 301
Na hii ndio nini?

Hahahaaa! Alooh zipo hizo simu?Voda phone![]()
![]()
![]()
Swaaaaaafiiiii tecno w 5Hii tabia ya jf bana wanataka kila mtu ajue natumia simu gani
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Nikizunguka jf kwa daki 30 tuu nione hizo signature nahisi nitakufa kwa kicheka..Radio![]()
Ni wewe umeandika au ?Hahahaaa! Alooh zipo hizo simu?
Anawahi poriniUnaendacwapi rudi hapa
AiseeeeNazitoa wap wakati maduka yamefungwa na hospital mpaka kesho..
Nasikia ni HuaweiHahaha
Akikuambia niite
Kabisaa... Nimejikuta Nakuwaza ghaflaBasi ukiuona unavurugwaaaaaa!
Msimu huu sina presha ata nikikaa mwakaAnawahi porini![]()
![]()
Sent from my E5653 using JamiiForums mobile app
Ni simu ya kijapaniHahaha
Akikuambia niite
Unatumia laptop au mbona sioni aina ya simu unayotumiaAsante mama Tecno
We mtaalam AiseeVoda phone![]()
![]()
![]()
Abiria chunga nzigo wakoWakongo wahuni sana! Ataanza kusema anakupa offer ya Kucha ...
Mara oooh! Na nywele nimekusuka buree..
Sitaki huo ujinga![]()