Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kosa kubwa ni kutaka kujilinganisha na akina fulani
Kuna mambo humu KF unaweza zunguka JF nzima na usiyapate
Kumbuka hata Pepsi ilimuiga coca cola lakini sasa nimamia ya miaka hawajafanikiwa kulingana nao kwa ladha
Ukichunguza humu wengi ni watu wanaojotambua ndo maana hukuti mambo ya bora uzi ujae
........

Kule sijui wako na akili gani cause kila mmoja anasema lake then wanataka kujifananisha na Kapuku's

Nabaki kushangaa tu
Kuna ndugu yetu mmoja siku hizi namuona yupo kule all the time sijui nini mbaya imetokea.

Dreams never end by fear
 

Kule sijui wako na akili gani cause kila mmoja anasema lake then wanataka kujifananisha na Kapuku's

Nabaki kushangaa tu
Kuna ndugu yetu mmoja siku hizi namuona yupo kule all the time sijui nini mbaya imetokea.

Dreams never end by fear
Mdau hapa ni mwiko kumzungumzia jirani
Tupo sisi kama sisi
Na kila mtu yupo free hakuna kanuni wala sheria ila unafiki ni kipaji kinachoruhusiwa kuendelezwa

. .......
 
Ukizaliwa kiziwi mdomo utakuwa mzito maana mtu hujifunza kuongea kwa kuwasikiliza wengine
Wenye ma tatizo wengi ya kutokusikia hawajui kuongea kabisa
Ila kwa wale wanaoyapata ukubwani wakati tayari washajua kuongea huwa sio tatizo sana changamoto huwa kujifunza lugha za kigeni tu (English,Kifaransa n.k)
Dunia nzima ukizowi ni changamoto ......wengi huupata kutokana na matumizi ma baya ya dawa ,maambukizi kwenye sikio,ajali viwanda ni n.k
.......
Ni kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom