Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Sio kwelii na majuzi walimzushia Essien kafariki kwa ajar
Sio kwelii na majuzi walimzushia Essien kafariki kwa ajar
Salama upo hoi na nn MondHabar zenu wakuu.
Mdogo wenu nipo hoi..
Kwa bibi yakeeD mmemuacha wapi?
Na badooAsante kwa hadithi,bado tuna kibarua cha Kumjua mr.x
Kigamboni eheKwa bibi yakee
Its true,nina mjukuu wangu alikua na shida ya sikio tukampeleka kwa ENT doctor kama wk mbili zilizopita,akamcheki na kutuambia tu stop kusafisha masikio na coton buds,ear wax ni dawa inafanya sikio lijitibu,alikua hajaanza kuongea na usikivu duni tukawa hatuna amani lakini dokta ametuhakikishia ear wax ikirudi atakua vizuri,ukweli watu wengi wanawakwangua sana masikio watoto na zile cotton buds lakini kumbe sio jambo zuri ni kuacha tu labda uchafu uwe mlangoni unachuruzika
[emoji120] [emoji120] [emoji120] shukrani baba watotoNiko poa kabisa my swi
Ujinga mtupu
Weee shambaKigamboni ehe
Kisaaa ,?
True...tunamkumbuka mr.X
Uwiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] miezi sita mbali shemela tutasahau ati!Na badoo
Sema nikifika poriniii mtamjua baada ya miezi 6
It happensUF ...![]()
Pole hosp umeendaTumbo linakata nashindw Hadi kuongea vzr..
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Na badoo
Sema nikifika poriniii mtamjua baada ya miezi 6
Ni hatari sana kuchokonoa sikio, ila watu wengi hawajuiIt true,nina mjukuu wangu alikua na shida ya sikio tukampeleka kwa ENT doctor kama wk mbili zilizopita,akamcheki na kutuambia tu stop kusafisha masikio na coton buds,ear wax ni dawa inafanya sikio lijitibu,alikua hajaanza kuongea na usikivu duni tukawa hatuna amani lakini dokta ametuhakikishia ear wax ikirudi atakua vizuri,ukweli watu wengibwanawakwangua sana masikio watoto na zile cotton buds lakini kumbe sio jambo zuri ni kuacha tu labda uchafu uwe mlangoni unachuruzika
Pole hosp umeenda
HahahaNdio maana nikakuambia ni siku mpya
Maana ulikuwa hujafanya maajabu
Asante shemeji