Dikteta

ana majukumu ya kikazi
Mimi

Tangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescend

kasema wazi kazi zimembana
Lee

vitu vyake vipo pale pale
Obe

Muziki upo km kawa
Shululu

kila siku magazeti yapo
Jimena

Kaziba pengo la Dikteta japo siyo sana
Shumie

kuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao
Ila pia akina
Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako
Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu yaani copy & paste .....hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha au kushindanisha kitu ambacho sisi hatujishughulishi nacho
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............