Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Hiyo weekend VipiWeekend madam
Dreams never end by fear
Hiyo weekend VipiWeekend madam
Dreams never end by fear
HahahaNimeingia tu nikakutana nayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Nyoka teenaLabda twende kwenye gahawa la Nyoka_mzee
Dreams never end by fear
Anavuna mahindiUlipotea ujue
TumosaShikamoo mama [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Hello NyageiMuch missing you brother how's there?
Dreams never end by fear
UmeonaeeHii sign yako bora uitoe tu mkuu
Kumbe mnyaki mwenzangu upo[emoji123] [emoji123] [emoji123] mby city aka bhana koma kumwanya
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Sijui kuna nini huko poriniAiseeee
Hilo pori vipi... Maana Shunie nae alienda pori
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji123] [emoji123] [emoji123] mby city aka bhana koma kumwanya
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Evaton watakapokuja bongo
Shikamoo mama mchungajiMarahaba mummy za uzima[emoji7] [emoji7]
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Dikteta[emoji117] ana majukumu ya kikazi
Mimi[emoji117] Tangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescend[emoji117] kasema wazi kazi zimembana
Lee[emoji117] vitu vyake vipo pale pale
Obe [emoji117] Muziki upo km kawa
Shululu[emoji117] kila siku magazeti yapo
Jimena[emoji117] Kaziba pengo la Dikteta japo siyo sana
Shumie[emoji117] kuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao
Ila pia akina Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako
Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu yaani copy & paste .....hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha au kushindanisha kitu ambacho sisi hatujishughulishi nacho
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............
Marahaba T wa Sakayo yaani unisamehe nimekosea jin la mwanangu,za uzimaIts Sakayo not Sakayi..
Mama mchuchu shikamoo [emoji3][emoji3]
Anipe walau debe mojaAnavuna mahindi
Hainaga noma kamandaWell said bro
Nategemea kuanzia J5 nitakuwa humu kwa amani kabisa
Dreams never end by fear
Samahani spelling ya mwisho,nilijua nimetingwaAsante