Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ujibu nini?Umeonaee
Mie kila saa nataka kumjibu
Dreams never end by fear
Ujibu nini?Umeonaee
Mie kila saa nataka kumjibu
JF kila mtu yuko huru![]()
![]()
![]()
Kule sijui wako na akili gani cause kila mmoja anasema lake then wanataka kujifananisha na Kapuku's
Nabaki kushangaa tu
Kuna ndugu yetu mmoja siku hizi namuona yupo kule all the time sijui nini mbaya imetokea.
Dreams never end by fear
234kHainaga noma kamanda
......
Hii sign yakoUjibu nini?
Dreams never end by fear
Usijali mama mshungaji ( hahahaa)Marahaba T wa Sakayo yaani unisamehe nimekosea jin la mwanangu,za uzima
Iache tu kwa leo ionekane maana ilifichwaInachanganya au huoni inatokea kwa kila comment
Ila Nafikiri leo mods kuna penye wamegusa maana, kila member naona sign chini.... Yangu nimetoa
Hujumaliza kusuka tuu..?Inachanganya au huoni inatokea kwa kila comment
Ila Nafikiri leo mods kuna penye wamegusa maana, kila member naona sign chini.... Yangu nimetoa
Sawa mkuuFuatilia mdau utujuze
Mi asubuhi naelekea MOI (nimewahi kuwaambia nilipataga ajali hivyo natibiwa tangu April hadi Agosti mwanzoni) ndo muda niliopangiwa kutumia dawa
......
Tulia taratibu utaelewa mkuu shululu wa TKwa hapo Nyagei simuelewi kabisa
Sawa ila kuwa mnafiki aisee hii mpyaMdau hapa ni mwiko kumzungumzia jirani
Tupo sisi kama sisi
Na kila mtu yupo free hakuna kanuni wala sheria ila unafiki ni kipaji kinachoruhusiwa kuendelezwa
![]()
![]()
![]()
. .......
Ukienda setting kuna signature sasa weka none mi leo ilitokea ila nilirekebisha mapema maana natumia TECNO ni nomaInachanganya au huoni inatokea kwa kila comment
Ila Nafikiri leo mods kuna penye wamegusa maana, kila member naona sign chini.... Yangu nimetoa
Njema mkuuHabari ya uzima
Dreams never end by fear
Kuanzia kesho itakuwa off usiwe na shakaHii sign yako