Makapuku Forum

Makapuku Forum

Seriously Mondray yuko na hali mbaya, sijui huko visiwani wanaishije

Dreams never end by fear
Real..?

Ila kuna siku mondray alikuwa anaumwa tena tumbo tukiwa humu humu kp..

I suggest achukulie hii kitu serious kwa kwenda hospital makini kidogo, kama ni ulcers azingatie yale masharti atapona tuu..

Kubwa zaidi mimi namuombea Apone.
 
Ni ulcers kipindi kile ilijirudia na hata leo pia imerudi

Dreams never end by fear
 
Real..?

Ila kuna siku mondray alikuwa anaumwa tena tumbo tukiwa humu humu kp..

I suggest achukulie hii kitu serious kwa kwenda hospital makini kidogo, kama ni ulcers azingatie yale masharti atapona tuu..

Kubwa zaidi mimi namuombea Apone.
Pia Lee amwendee chemba ampe ushauri
Huyu ndo tabibu/mwanabailojia wetu

.. ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom