Makapuku Forum

Makapuku Forum

It true,nina mjukuu wangu alikua na shida ya sikio tukampeleka kwa ENT doctor kama wk mbili zilizopita,akamcheki na kutuambia tu stop kusafisha masikio na coton buds,ear wax ni dawa inafanya sikio lijitibu,alikua hajaanza kuongea na usikivu duni tukawa hatuna amani lakini dokta ametuhakikishia ear wax ikirudi atakua vizuri,ukweli watu wengibwanawakwangua sana masikio watoto na zile cotton buds lakini kumbe sio jambo zuri ni kuacha tu labda uchafu uwe mlangoni unachuruzika
Ukizaliwa kiziwi mdomo utakuwa mzito maana mtu hujifunza kuongea kwa kuwasikiliza wengine
Wenye ma tatizo wengi ya kutokusikia hawajui kuongea kabisa
Ila kwa wale wanaoyapata ukubwani wakati tayari washajua kuongea huwa sio tatizo sana changamoto huwa kujifunza lugha za kigeni tu (English,Kifaransa n.k)
Dunia nzima ukizowi ni changamoto ......wengi huupata kutokana na matumizi ma baya ya dawa ,maambukizi kwenye sikio,ajali viwanda ni n.k
.......
 
49039b48b81a33d2aa5a9d7a3a2198fa.jpg
Be blessed Sakayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom