Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Tangulia mama watoto, namalizia mpira wa taifa star hapaNaomba nitangulie Kulala baba watoto maana nmechoka kweli
Ila imekaa poa tuKiasi kumekuwa busy na majukumu ya hapa na pale
Poa poa mkuuGood kaka..
Ni ajee?
Ndio utujibu,unafahamu zaidi yetu.Kwa nn kwa shunie maswali yamekuwa mengi kuliko waliotangulia
Goodnight T wa ShululuNaomba nitangulie Kulala baba watoto maana nmechoka kweli
Ni kweli shunie majukumu ya familia yatambana na eneo atakalo kuwepo network sio nzur ...kabla hajasafir kaamua kuwaondoa wasiwasNdio utujibu,unafahamu zaidi yetu.
Na wewe piaUsiku mwema
Wakuu
Kwenye simu siku hizi kuna m pesa Tigo pesa na kadhalika unaanzaje kutoitumia simu au kuiachaDuh yaani unataka mtu aache majukumu achat muda wote
Atakula nini?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....
Mwanzo sikuelewa post yakoKwenye simu siku hizi kuna m pesa Tigo pesa na kadhalika unaanzaje kutoitumia simu au kuiacha
Mbona sisi wengine tunachati na kazi tunafanya
233kNiaje mkuu
Nina imani baada ya muda ubize utapungua na tutaendelea kuwepo humu ndani kama zamaniSiku hizi kuna Mchawi nini?
Ubize ulianza kwa Nyagei,ukafuata Transcend,ukaja kwa Dikteta,ukahamia kwangu kisha ukatua kwa Shumie na pia kwa Jimena
Ni dalili kwamba siku hizi watu majukumu yameongezeka hivyo watu hawawezi kushinda sana JF
Ni jambo jema kutafuta mawe halafu mtu ukipata muda unajichanganya kama One ambaye ambaye mida yake jioni/usiku tu
.......
Asante shemeji sakayo nawe pia
Hiyo hiyoHadithii
Nitakumis my shemejiMorning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan
Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss
Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja
Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana
Mungu awabariki sana sana
Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
SawaNina imani baada ya muda ubize utapungua na tutaendelea kuwepo humu ndani kama zamani
Nawe piaUsiku mwema
Wakuu