Morning mkuu ShululuMorning all kapuku
AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Asante kwa punguzo la bei ya dawa,magonjwa yamekua mengi dawa bei juu,Mungu atusaidie sana katika hili na atukinge na maradhi

Asante kwa health workers kuajiriwa itasaidia sana
Mungu atusaidie mengine ni ngumu kucomment
Tutasikia mengi
Morning mkuu Shululu[/QUOTEMORNING mama mchungaji, habari za familia yako
Hongera Janeth Magufuli kukumbuka wazee
Dawa kwenye mahospital hamnaAsante kwa punguzo la beibya dawa,magonjwa yamekua mengi dawa bei juu,Mungu atusaidie sana katika hili na atukinge na maradhi![]()
Anateseka sanaMANJI!
Pumzika kwa amani mtoto

Asante mkuu Shululu na Taifa Stars kwa magazeti mbarikiweView attachment 537573Kwa udhamini mnono wa Taifa star, tukutane tena kesho na siku njema