Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Naomba nitangulie Kulala baba watoto maana nmechoka kweliKitabu
Naomba nitangulie Kulala baba watoto maana nmechoka kweliKitabu
Kuna chimbo alikuwepoKwani demi leo umemuona humu
Kwa nn kwa shunie maswali yamekuwa mengi kuliko waliotanguliaAcha utani
AiseePorin ni nusu mwaka
Najua nina deni kubwa sana la Nukuu za leo..Siku hizi kuna Mchawi nini?
Ubize ulianza kwa Nyagei,ukafuata Transcend,ukaja kwa Dikteta,ukahamia kwangu kisha ukatua kwa Shumie na pia kwa Jimena
Ni dalili kwamba siku hizi watu majukumu yameongezeka hivyo watu hawawezi kushinda sana JF
Ni jambo jema kutafuta mawe halafu mtu ukipata muda unajichanganya kama One ambaye ambaye mida yake jioni/usiku tu
.......
YaaaaahMimi nitakuwepo ila kwa sua sua hivi..
This is just a matter of time, uzi utakiwa unatembea kawa kawaida
Uwanja wa nyumbaHa hahahaha, ndo yule mliyefumaniana kwa ile Nyarwanda ya kule chini ya hostel? Ila anko lazima umkumbuke sana huyu lekchala
Ni nomaNa mimi nasikitika next week naingia poriii
Sana, kuna moja kunguru hafugiki na tikisa...........![]()
![]()
zile enzi zilikuwa poa sana
Mmemtisha mndali...iishie tu kusema tunaelewana sana na hilo halina ubishi hadi Mndali ndanyelakakomu kaamua kkwenda kwenye jela ya kutoingia Kapuku😀
Ndio hivyoEti obe Wa husna![]()
![]()
WoyoyooooooooooooNibeep nikupigie nikwambie kwanini wewe ni Husna wa Obe
Sawa tu mdauNajua nina deni kubwa sana la Nukuu za leo..
Ila i will put my inputs if time will be on my side..
Shaka ondoaa ....kila siku usiku saa 4 ntakuwa na time kidogoNi noma
Ila ukipata muda tutapiga stori haina shida
Pia Siku hizi tupo watu tunawasiliana hadi nje ya Jf
........
Mtumbwi wa mto ruvuOh, nilisahau nilijua na leo kuna meli nilipoona mtumbwi umejaza watu hapa. Ha hahahaha, nilipotimuliwa ulifurahi sana ila baadaye uliumia maana ikawa ngumu kwako kukutana na jamilah waliyekuwa wanasoma na Shakira kidato kimoja
Niaje mkuumsalimie shululu
msalimie obe
Kiasi kumekuwa busy na majukumu ya hapa na paleSiku hizi kuna Mchawi nini?
Ubize ulianza kwa Nyagei,ukafuata Transcend,ukaja kwa Dikteta,ukahamia kwangu kisha ukatua kwa Shumie na pia kwa Jimena
Ni dalili kwamba siku hizi watu majukumu yameongezeka hivyo watu hawawezi kushinda sana JF
Ni jambo jema kutafuta mawe halafu mtu ukipata muda unajichanganya kama One ambaye ambaye mida yake jioni/usiku tu
.......
Ni noma ila ndo ukubwaShaka ondoaa ....kila siku usiku saa 4 ntakuwa na time kidogo