Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu kumekucha salama Jana nimeahidi kutoa msimamo wangu juu ya kuto kumwona afande shedede

Sasa nimeamua kuto kuingia jukwaani hapa kwa siku tatu

Kuonyesha kuwa alicho kufanya husna kumtelekeza afande wakati aliacha kazi kwaajili yake ili awe karibu nae sasa katelekezwa

Na mzee wa saa mpya umejichukulia shemeji yako bila hata kumhurumia afande na maumivu yake

Leo nasema kuwa tu kila jambo na wakati wake Fanya kila kitu kwa manufaa ya Leo na kesho

Nawaacha na utafiti hewa : uvivu wako ndo chanzo cha umaskini wa familia yako
Mndali jamaan nimejikuta chozi linanitoka kaka
 
Morning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan [emoji10]

Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss

Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja

Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana [emoji10]

Mungu awabariki sana sana [emoji120]

Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
Shunie[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Shikamoo mama yangu kipenzi [emoji8]
Marahaba mwanangu za uzima?nini mbaya mwanangu?Natamani kukuona ukiwa na Amani ..NAKUPENDA[emoji7] [emoji7] [emoji7] NAJUA UNAJUA MUNGU ANAKUPENDA MNOO..USIMPE ADUI NAFASI YA KUKUVUNJA MOYO NA KUKUGANDAMIZA ..THE JOY OF THE LORD IS OUR STRENGHT ,NEHEMIA 8:10b...wala msihuzunike,kwa maana furaha ya BWANA ni nguvu zenu...
 
Morning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan [emoji10]

Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss

Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja

Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana [emoji10]

Mungu awabariki sana sana [emoji120]

Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
Asante shemela, Mungu akutangulie katika majukumu yako, nasi tunakumiss sana, kapuku ni familia yetu
 
Kwani kuzaa hadi utangaze..jamani kuwa mjamzito ni BARAKA...HATA KAMA Mwanaume kakataa mimba....kaa kimya zamani tuliaswa mimba ni siri watoto wetu wanapenda kuizungumzia mno.kwani ukikaa kimya mtoto hazaliwi?natamani watoto wa kike wafahamu wao ni wathamani mbele za Mungu ,kama ulifanya makosa ukabeba mimba bila ndoa halali na me anakataa TUBU..SONGA MBELE MUNGU ANAMJUA MTOTO ANAEKUJA KULIKO WEWE NA HUYO ME..JOKATE KAMA NI MJAMZITO MUNGU AMSAIDIE AACHE MALUMBANO NA KUMTAMKIA MTOTO MANENO..WATOTO TUMBONI WANASIKIA[emoji120]
Wengine wanadiriki mpaka kupicha vitumbo vyao ili kuvitupia mtandaoni
 
Morning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan [emoji10]

Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss

Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja

Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana [emoji10]

Mungu awabariki sana sana [emoji120]

Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
Kila LA heri mkuu
 
Back
Top Bottom