Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nakupenda sana mwangu,nafurahi kukuona hapa..mbarikiweNakupenda mamy...
Leo imekuwa siku nzuri sana kupata wimbo huuAsante saaana Obe wa Husna
Umejua kunibamba ile kinomaaa
...nimejua kukubamba bila kukubambia na hapo ndipo utaipenda miziki ya bongo fleva. Enzi zile bongo flevaz wanakula bangi tu na sio ngada
zile enzi zilikuwa poa sanaNimefurahi inatosha
Muziki: Ijumaa ya Kimyakimya
Well, kabla sijakusalimia Kapuku mwenzangu ningependa kutofahamu utafanya nini katika siku hizi mbili za mapumziko. Ni mapumziko, si ndiyo jamani, na kama ni mapumziko sasa kwanini nauliza utafanya nini (got any plans this weekend?). Binafsi nitapumzika sana maana wiki hii ilikuwa ndefu kidogo na yenye kona nyingi isingekuwa assist za wadau basi hata sare nisingeambulia. Tujipongeze kwa kutoa assist na kuwa assisted bila kuasiliwa.
Leo ni SabaSaba, sikukuu ya Wakulima hapo mwanzo na hujuma za wafanyabiashara wakaipoka kuifanya siku ya kuuza bidhaa za viwandani. Hongereni sana wote mliotumia siku ya leo kununua bidhaa za viwandani na kuwaunga mkono wafanyabiashara wetu nchini. Ukiwaunga mkono basi uchumi kupaa hakuepukiki. Nunua bidhaa za ndani, usipende za nje utakaa uchi.
Muziki sasa, leo ni Ijumaa sina haja ya kukukumbusha mdau na Kapuku mwenzangu ambaye uwepo wako tu hapa na wewe kuweza kusoma forum hii unakuanya kuwa mtu mwema sana, vinginevyo ungekuwa jela ukiishi bure. Kuwa raia mtiifu ni wajibu wetu kila mmoja.
Turudi zamani kidogo kwa sisi vijana wa jana enzi za kutembea na mabegi mgongoni (yamerudi tena) na story za mamtoni miguuni tumetinga raba mtoni. Anaitwa Dudubaya aka Mamba, kapafona- mshindi wa tuzo ya muziki tanzania kwa wimbo wake nakuppenda tu na zaidi navutiwa na wimbo wake mwanangu huna nidhamu. Sakayo uliomba wimbo wowote wa Mapafu ya Mbwa (DuduBaya) sasa furahia na Makapuku wote
Furahia wakati huru huu tulionao. Nakupenda tu.
NB: Kwa matatizo ya kiufundi wasiliana na mtaalamu wa masuala ya ufundi mtaasisi Nyagei

Amina mamyNakupenda sana mwangu,nafurahi kukuona hapa..mbarikiwe
Ubarikiwe nawe pia, nuru yetu na iangaze. Hivi si kuna maneno yanasema Amka Uangaze?

Mpendwa mi nakuelewa vizuri sana![]()
![]()
Muziki: Ijumaa ya Kimyakimya
Well, kabla sijakusalimia Kapuku mwenzangu ningependa kutofahamu utafanya nini katika siku hizi mbili za mapumziko. Ni mapumziko, si ndiyo jamani, na kama ni mapumziko sasa kwanini nauliza utafanya nini (got any plans this weekend?). Binafsi nitapumzika sana maana wiki hii ilikuwa ndefu kidogo na yenye kona nyingi isingekuwa assist za wadau basi hata sare nisingeambulia. Tujipongeze kwa kutoa assist na kuwa assisted bila kuasiliwa.
Leo ni SabaSaba, sikukuu ya Wakulima hapo mwanzo na hujuma za wafanyabiashara wakaipoka kuifanya siku ya kuuza bidhaa za viwandani. Hongereni sana wote mliotumia siku ya leo kununua bidhaa za viwandani na kuwaunga mkono wafanyabiashara wetu nchini. Ukiwaunga mkono basi uchumi kupaa hakuepukiki. Nunua bidhaa za ndani, usipende za nje utakaa uchi.
Muziki sasa, leo ni Ijumaa sina haja ya kukukumbusha mdau na Kapuku mwenzangu ambaye uwepo wako tu hapa na wewe kuweza kusoma forum hii unakuanya kuwa mtu mwema sana, vinginevyo ungekuwa jela ukiishi bure. Kuwa raia mtiifu ni wajibu wetu kila mmoja.
Turudi zamani kidogo kwa sisi vijana wa jana enzi za kutembea na mabegi mgongoni (yamerudi tena) na story za mamtoni miguuni tumetinga raba mtoni. Anaitwa Dudubaya aka Mamba, kapafona- mshindi wa tuzo ya muziki tanzania kwa wimbo wake nakuppenda tu na zaidi navutiwa na wimbo wake mwanangu huna nidhamu. Sakayo uliomba wimbo wowote wa Mapafu ya Mbwa (DuduBaya) sasa furahia na Makapuku wote
Furahia wakati huru huu tulionao. Nakupenda tu.
NB: Kwa matatizo ya kiufundi wasiliana na mtaalamu wa masuala ya ufundi mtaasisi Nyagei
Kiasinaiangalia tu,,,inaonekana inawakilisha jnsi ulvyo.
AmeniMATHAYO 5
14.Ninyi ni nuru ya ulimwengu,Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.
15.Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi,bali juu ya kiango;nayo yawaangaza wote walio nyumbani.
16.Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu,wapate kuyaona matendo yenu mema,wamtukuze BABA yenu aliye mbinguni.
MBARIKIWE![]()
![]()
Leo nataka nikuchapee...Na wewe ndio fimbo yangu
Nimemuona mtaani mtaan hukooKwani demi leo umemuona humu
Konyagi + dompoVodka hiziii
Maua mama mchuchuHahaha NAKUPENDA TU...Asante Obe ubarikiwe