Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Sawa mume wanguNimeacha mama...
Twende chumbani
Sawa mume wanguNimeacha mama...
Twende chumbani
Tobaaaaaaaaaaah .....bhinamu mpendwa wake husna mtarajiwa wa mama mchuchu....ndio mtarajiwa japo shunie anasafiri hajakuonesha njiaa ....tulisema ya zamani tunayuzungumzia siku za meli tu yaani j4 na alhamis iwejeee leoo ijmaa au kitendo cha shakira kukutimua kwake ndo hasira
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji106]...iishie tu kusema tunaelewana sana na hilo halina ubishi hadi Mndali ndanyelakakomu kaamua kkwenda kwenye jela ya kutoingia Kapuku😀
Hamjafunga madirisha atiLeo nataka nikuchapee...
I want to see you crying on my chest..
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji133] [emoji133] [emoji133]
Hajala huyo9o
Ohooooo.....kuna watoto apaaLeo nataka nikuchapee...
I want to see you crying on my chest..
Husna hujambo?Ohooooo.....kuna watoto apaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hamjafunga madirisha ati
Ongezea balimiKonyagi + dompo
[emoji3][emoji3][emoji3] msalimie shululuHamjafunga madirisha ati
[emoji3][emoji3][emoji3]msalimie obeOhooooo.....kuna watoto apaa
Muziki: Ijumaa ya Kimyakimya
Well, kabla sijakusalimia Kapuku mwenzangu ningependa kutofahamu utafanya nini katika siku hizi mbili za mapumziko. Ni mapumziko, si ndiyo jamani, na kama ni mapumziko sasa kwanini nauliza utafanya nini (got any plans this weekend?). Binafsi nitapumzika sana maana wiki hii ilikuwa ndefu kidogo na yenye kona nyingi isingekuwa assist za wadau basi hata sare nisingeambulia. Tujipongeze kwa kutoa assist na kuwa assisted bila kuasiliwa.
Leo ni SabaSaba, sikukuu ya Wakulima hapo mwanzo na hujuma za wafanyabiashara wakaipoka kuifanya siku ya kuuza bidhaa za viwandani. Hongereni sana wote mliotumia siku ya leo kununua bidhaa za viwandani na kuwaunga mkono wafanyabiashara wetu nchini. Ukiwaunga mkono basi uchumi kupaa hakuepukiki. Nunua bidhaa za ndani, usipende za nje utakaa uchi.
Muziki sasa, leo ni Ijumaa sina haja ya kukukumbusha mdau na Kapuku mwenzangu ambaye uwepo wako tu hapa na wewe kuweza kusoma forum hii unakuanya kuwa mtu mwema sana, vinginevyo ungekuwa jela ukiishi bure. Kuwa raia mtiifu ni wajibu wetu kila mmoja.
Turudi zamani kidogo kwa sisi vijana wa jana enzi za kutembea na mabegi mgongoni (yamerudi tena) na story za mamtoni miguuni tumetinga raba mtoni. Anaitwa Dudubaya aka Mamba, kapafona- mshindi wa tuzo ya muziki tanzania kwa wimbo wake nakuppenda tu na zaidi navutiwa na wimbo wake mwanangu huna nidhamu. Sakayo uliomba wimbo wowote wa Mapafu ya Mbwa (DuduBaya) sasa furahia na Makapuku wote
Furahia wakati huru huu tulionao. Nakupenda tu.
NB: Kwa matatizo ya kiufundi wasiliana na mtaalamu wa masuala ya ufundi mtaasisi Nyagei
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]Nibeep nikupigie nikwambie kwanini wewe ni Husna wa Obe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tobaaaaaaaaaaah .....bhinamu mpendwa wake husna mtarajiwa wa mama mchuchu....ndio mtarajiwa japo shunie anasafiri hajakuonesha njiaa ....tulisema ya zamani tunayuzungumzia siku za meli tu yaani j4 na alhamis iwejeee leoo ijmaa au kitendo cha shakira kukutimua kwake ndo hasira
Msalmie sakayo na utakapoanza kumchapa msisahau kufunga hayo madirisha hatutaki kufaidishwa sie[emoji3][emoji3][emoji3] msalimie shululu
[emoji3][emoji3][emoji3]msalimie obe
KweliiiAcha masiharaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Anko maua hata usisumbuke kuniombea, bado hayajaota na hata yakiota mbuzi wa Bitoz watayala? Au unataka nikalale bustanini angalau nione maua?
Yeaaah nothing elsShe told me nothing
Kweliiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] maweee