Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
HujalaJamani leo nimekula kweli?
Duh yaani unataka mtu aache majukumu achat muda wote
Atakula nini?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....

Kwema tuJamani kwema hapa
Asiekula na asifanye kaziAsiyefanya kazi na asile
![]()
![]()
![]()
.......
Na ww umeenda?!Naona watu mmejazana 77 mnabeba tu vyombo
....
Sawa muke ya Lacazette![]()
kumbe ni ke!HallelujahMmh..
We are praying for her

Wakuu kumekucha salama Jana nimeahidi kutoa msimamo wangu juu ya kuto kumwona afande shedede
Sasa nimeamua kuto kuingia jukwaani hapa kwa siku tatu
Kuonyesha kuwa alicho kufanya husna kumtelekeza afande wakati aliacha kazi kwaajili yake ili awe karibu nae sasa katelekezwa
Na mzee wa saa mpya umejichukulia shemeji yako bila hata kumhurumia afande na maumivu yake
Leo nasema kuwa tu kila jambo na wakati wake Fanya kila kitu kwa manufaa ya Leo na kesho
Nawaacha na utafiti hewa : uvivu wako ndo chanzo cha umaskini wa familia yako
Huku ni salama kabisa mkuuNiko poa kabisa, vip upande wako
Amina mamaMarahaba mwanangu HONGERA KUTAMBUA UMEAMSHWA SALAMA SIFA ,UTUKUFU ,HESHIMA , SHUKURANI KWA BABA..Salaam kwa wote ubarikiwe
Ulifikiri me?kumbe ni ke!
Mmh..
We are praying for her
Humu kuna mtu kapatwa na tatizo auHallelujah![]()
Ok,kuna msiba kwa mzee Mganga mkoani,nitakuja kuzika.(kibaha)Nipo kinondoni mama mchungaji.
...siku tatu tu ndo hutoingia humu protesting kutokuonekana kwa shedede , okay.
Na sababu ya kuchagua siku tatu ni Nini? Kwanini isiwe siku moja, mbili , au 7?
Je nikijiaminisha kuwa leo bando lako limeisha hivyo utareload siku tatu nitakuwa nimekosea?
Anyway hata sielewi najiuliza maswali mengi ya nini wakati leo ni Furahiday.

UbarikiweAmina mama
Kuna tatizo mdau,Shunie kaaga asubuhi anatoka kwa muda,atarudi..ukweli imetushtua kutokana na mazoea na namna Shunie alivyo mshiriki mzuri,nilitamani kujua sababu hajaiweka wazi kwa mtu yoyote,kila mtu amekua anauliza so tumeona jambo jema tumuombee..kuna wakati mtu anahitaji time alone..imsadie kumpa amani na kuweka mambo yake sawa kiakili,kiroho nk hivyo tuungane kumwombea apate amani..asanteHumu kuna mtu kapatwa na tatizo au
Mbona sijaelewa maana siku hizi ziingii sana nina ishu imekaba
Nijuzeni hata kwa ufupi tu
.....