shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Karibu, uko poa lakiniWakuuu kumekucha salama ...soon UF na dondoo za bbc
Karibu, uko poa lakiniWakuuu kumekucha salama ...soon UF na dondoo za bbc
AiseeUnbelievable facts. ..
![]()
Habari yako shem wane![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ya kweli hayoo mpendwaa?!
AmenMATHAYO 5
3.Heri walio masikini wa roho,maana ufalme wa mbinguni ni wao.
4.Heri wenye huzuni Maana hao watafarijika.
Mpendwa usiku wa leo naomba nikwambie,hata kama unapitia mateso gani kama hujamuacha MUNGU Ufalme wa Mungu ni wako na utafarijika..usimwche MUNGU kwa ajili ya shida yoyote..ng'ang'ania kwake
USIKU MWEMA DAMU YA YESU ITUFUNIKE![]()
![]()
Hapana kwangu haijanitatiza ilikubali fasta tuMtaasisi, vipi nawe unatatizwa na suala la kiufundi?
Taarifa ya Matatizo ya Kiufundi
wadau, nasikitika kwa kipengele cha Muziki kutotimiza lengo lake kikamilifu. Maandishi yalikuwa sahihi sema muziki ulitatiza, nilifanya ninachofanya kila siku kuweka muziki.
Nimekuwa na experience some net interruptions na ninajaribu kufuatilia hiki maana kinanikosesha mambo mengi ikiwemo kipengele hiki ninachokipenda.
Naiweka tena clip hii (YouTube) ya historia ya Shaaban Dede
Naamini itakaa sawa sasa
Nawashukuru sana lee empire , shululu ,BlessedHope , Tumosa , husna muba kwa kushare nami mlichokutana nacho. Na wadau wote mnaofuatilia KF
Safi sana hii
Long time brother How are you?Wakuu kumekucha salama Jana nimeahidi kutoa msimamo wangu juu ya kuto kumwona afande shedede
Sasa nimeamua kuto kuingia jukwaani hapa kwa siku tatu
Kuonyesha kuwa alicho kufanya husna kumtelekeza afande wakati aliacha kazi kwaajili yake ili awe karibu nae sasa katelekezwa
Na mzee wa saa mpya umejichukulia shemeji yako bila hata kumhurumia afande na maumivu yake
Leo nasema kuwa tu kila jambo na wakati wake Fanya kila kitu kwa manufaa ya Leo na kesho
Nawaacha na utafiti hewa : uvivu wako ndo chanzo cha umaskini wa familia yako