Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu kumekucha salama Jana nimeahidi kutoa msimamo wangu juu ya kuto kumwona afande shedede

Sasa nimeamua kuto kuingia jukwaani hapa kwa siku tatu

Kuonyesha kuwa alicho kufanya husna kumtelekeza afande wakati aliacha kazi kwaajili yake ili awe karibu nae sasa katelekezwa

Na mzee wa saa mpya umejichukulia shemeji yako bila hata kumhurumia afande na maumivu yake

Leo nasema kuwa tu kila jambo na wakati wake Fanya kila kitu kwa manufaa ya Leo na kesho

Nawaacha na utafiti hewa : uvivu wako ndo chanzo cha umaskini wa familia yako
Nakuombea..kama unafunga na kuomba ili Mungu akupe majibu tushirikishe...naamini kuna jambo unaenda kulileta kwa siku tatu.popote ulipo kaka Mungu akutangulie.
 
IMG-20170707-WA0021.jpg
 
Dondoo za bbc. .

Polisi nchini Ujerumani wapambana na waandamanaji usiku wa kuamkia mkutano wa mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi wa G20.

Wakati Mahakama nchini Kenya ikitarajia kutoa uamuzi juu ya zabuni ya karatasi za kupigia kura, Tume ya Uchaguzi nchini humo lawamani.

Wataalam wa Mawasiliano kutokana sehemu mbalimbali za Dunia wanakutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala yanayohusu wakulima wa Tanzania.
Mawasiliano..tunatamani kusikia

Wanaoandaman wana jambo wanalihitaji

Karatasi za kupigia kura Afrika muhimu zifuatiliwe

Asante kwa dondoo BBC LEE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom