Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unamuona mkwe wangu,amesahau yoteee hata tu kuniomba radhi kwa aliyomfanyia mwanangu...sio vizuri kuingilia ila tumbo linaumaaaa..najua mwanangu hana raha....lakini huyu mkwe wangu wala haoni kuwa nimeona na naumia...namwomba sana Mungu anisaidie na amsaidie yeye kuponya haya majeraha.
 
Nimeshinda salama sana BH wangu, u hali gani wewe ninayekuwaza kila wakati.

Yeah ni Dede Shaaban, sisi wazee wa Bakulutu ni pigo kubwa sana maana kila Ijumaa pale jirani na Bills tulikuwa tunakaa kkuwasikiza na kuburudika
Inaumiza sana..Apumzike kwa Amani...njia yetu ni moja..ni wiki ngumu kwetu ..ila Mungu ndiye msemaji wa yote maana yeye ni mkamilifu..
 
Unamuona mkwe wangu,amesahau yoteee hata tu kuniomba radhi kwa aliyomfanyia mwanangu...sio vizuri kuingilia ila tumbo linaumaaaa..najua mwanangu hana raha....lakini huyu mkwe wangu wala haoni kuwa nimeona na naumia...namwomba sana Mungu anisaidie na amsaidie yeye kuponya haya majeraha.
Yy anafikiri unafurahia hajui unaumia,Lee muombe msamaha mama Mchungaji ulichomfanyia mwanae hajapenda kwa kweli
 
Back
Top Bottom