shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Obe Habari
Naomba wimbo wa dudu baya wowote
shemeji imebidi nicheke tuObe Habari
Naomba wimbo wa dudu baya wowote
shemeji imebidi nicheke tu
Apo ndo umenenaasiwezi kupanic kwenye vitu kama hivi.. Na Makapuku nitaendelea kuwepo kama kawaida na nitachangia kama kawaida
Achana nae huyo kaka ucmjibuSasa kama hauko serious mbona umepaniki mkuu
Sawa mkuu naona hawa wenzetu hawajui kilicho wafanya wajiunge jfMtu akija kuzingua sisi tunamjibu vizuri tu Mwisho yeye anajiona alichofanya ni ujinga tofauti na matarajio yake kwamba tutapovuka na kuzinguana nae
.....
Acha kumsingizia mume wngu hana ujinga huo![]()
mchepuko wako ulee
Tuna mpango Wa kukuvizia tuwapige mwajala tumosa apate Mke mwenzie
Uwe na amani,kama ulikua unatania yaishe tuanze upya ,tusamehe tulipokukosea nasi tumekusamehe..hakuna mkamilifu..karibu tushirikiane ..ubarikiwesiwezi kupanic kwenye vitu kama hivi.. Na Makapuku nitaendelea kuwepo kama kawaida na nitachangia kama kawaida
Lala salama Mkuu.Katibu mipango wa Makapuku nipo hapa.. Hakuna kujipendekeza kwa mtu tunaamini tuna ubora kuliko wao... Hapa ni muda wa makapuku kusimama na kung'aa... No shobo no Ufagio
Nayasubiri..Mpe maua jamaaaan
Tutamjibu maana anatakiwa kueleweshwaAchana nae huyo kaka ucmjibu
Shaaban dedeHabari nzuri Sakayo, heshima kwako pia.
Nyimbo za Dudu Baya aka Ng'wina yaani Mamba nitaziweka bila shaka, lets say kesho leo tumwangalie mwanamuziki wa bendi aliyefariki mapema wiki hii? Unamjua lakini?
Karibu sanaokay..
Pamoja sana mkuuUwe na amani,kama ulikua unatania yaishe tuanze upya ,tusamehe tulipokukosea nasi tumekusamehe..hakuna mkamilifu..karibu tushirikiane ..ubarikiwe
Nijangwesye kaka utwa ukoNjema dada ulipo kwijangasya
Wao ndo wanaangahika na sisiSawa mkuu naona hawa wenzetu hawajui kilicho wafanya wajiunge jf
Ubarikiwe sana travis1...Pamoja sana mkuu
Leo umpe weweNayasubiri..
Haaaaahaaaa...kwenye ufalme wataingia walio watakatifu, wasafi na wanaotoa sadaka. Ijumaa tukikutana pale bar njoo na hela kabisa nikuuzie vitambaa vyeupe vimeombewa na mtume, nabii na injinia wa kule Naija. Wewe kwa kuwa ni mjomba wangu nitakupa ofa, unaweza kuanza kulipa kwa awamu.
Usitumie ile namba ya Voda (unamjua aliyeichukua). Andika EMO