Makapuku Forum

Makapuku Forum

...kwenye ufalme wataingia walio watakatifu, wasafi na wanaotoa sadaka. Ijumaa tukikutana pale bar njoo na hela kabisa nikuuzie vitambaa vyeupe vimeombewa na mtume, nabii na injinia wa kule Naija. Wewe kwa kuwa ni mjomba wangu nitakupa ofa, unaweza kuanza kulipa kwa awamu.

Usitumie ile namba ya Voda (unamjua aliyeichukua). Andika EMO
Sawa kabisa tena ikibidi njoo na pafyumu nivipulizieee

Unaonaa sasa wewe kwa nini unashindwa mambo mimi nimepiga nilichokutana nacho simu ndo inajua na tcra wake ...mapovu nimemwambia atunze yatamsaidia kudekia ....

Ila na wewe kibokooo
 
Kwani kuna mashindano?
Kila mtu afanye anavyojisikia
Kwani JF uzi ukiwa na post/wachangiaji wengi kuna malipo au mtu akiwa na like nyingi analipwa?

Sisi tuna maisha yetu na hatuwezi kushindana kupost JF na hata uzi kwa siku uwe na post 7 hakuna hasara yoyote ilimradi mawe yanaingia mfukoni mwetu

Ingependeza zaidi post yako Hii ungepost huko maana ungeongeza like na wingi wa post

........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom