BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Unauhakika?![]()
Mimi sijamkosea mama mchuchu
Unauhakika?![]()
Mimi sijamkosea mama mchuchu
Mama si umpe maua japo moja tuuHata sasa unafuraha...huwa nakufurahia sana..Mungu akutunze Obe.unaishi katika mioyo ya wengi..Asante kwa upendo

Nambie tuuMpendwa wa Obe
...ukianza kuweka weka mistari ya Ufunuo hivi utawapa shida sana wanaopanga kukutongoza na kuwarahishia kazi wazee wa vitabu vya Daniel na Ufunuo, unawajua (joke)

Mwanao anakusalimiaa
Sawa kabisa tena ikibidi njoo na pafyumu nivipulizieee
Unaonaa sasa wewe kwa nini unashindwa mambo mimi nimepiga nilichokutana nacho simu ndo inajua na tcra wake ...mapovu nimemwambia atunze yatamsaidia kudekia ....
Ila na wewe kibokooo

Mama mchuchu unaongea na mm au ??Unauhakika?
MmmmmhAkwende zakee
Sio vizuri mkwe kusema...ila huu ni utumwa..anavumilia kwakuwa anakupenda na anaamini utabadilika....haya maisha ya kuigiza siku moja utayafurahia in real life maana Moyo na mdomo huumbaLeo zamu yake anapikaa....simu ninayoo mm
Sijambo mpendwa mi kigoma one we wapi?!
Hahahaha haya maajabuTunafahamiana sema hatufahamiani tulikotokea.😵
![]()
Mpe maua jamaaaan

Dawa ni AMANI YA MWANANGUPolee mama mchuchu ...vipii dawa umepataa ??
NashukuruMwanao anakusalimiaa
Hayaaa we kaaga hivyo hivyoAcha kumsingizia mume wngu hana ujinga huo
Wewe ndiyoMama mchuchu unaongea na mm au ??