shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Niambie mama watoto wanguBaba watoto![]()
![]()
![]()
Niambie mama watoto wanguBaba watoto![]()
![]()
![]()
Nzuri shemeji za mihangaikoWakuu habari zenuu
Wakuu habari zenuu
Kwemaaa mkuuWakuu habari zenuu
Zamani kidogo kitaani nimewahi kushuhudia ndoa ya mkeka ila kisheria ndoa ni makubaliano/maridhiano baina ya watu wawili kuishi pamoja
"Kuwalazimisha" kunaifanya iwe batili
........
ndoa ya mkeka sie huku tunaiita "ndoa ya mwajala"Enzi uzi unaanza. Kipindi hicho alikuwa anaitwa Jambilo
jambilo!!
Well say my Anika

Umeshindajeejambilo!!
Jina zuri sana
![]()
![]()
ndoa ya mkeka sie huku tunaiita "ndoa ya mwajala"
Mukifumwa mnapigwa mwajala
Ee Sheba ee Sheba ee Sheba eeeeeeeeeeee sheeeeebaaa

Ndio nzuri hiyoooNi kweli yankulazimishana ni mbaya sana
I love you..Well say my Anika![]()
Mimi ninae T,hiyo hainihusuNdio nzuri hiyooo
Kugonga watoto Wa watu mnapenda kuwaoa hamtaki
MwajAla itakuhusu
I know my mke mdogoI love you..
Binamu nakuona kwa mbali ...nshakusoma leo weekend inaanza na una mpango wa kunikwepa![]()
Ndio nzuri hiyooo
Kugonga watoto Wa watu mnapenda kuwaoa hamtaki
MwajAla itakuhusu
Binamu nimeona ...ila muhimu unikumbuke kwenye ufalme ....Ha ahhahahaha, mjomba nami nakuona tu. Si nilikuambia jana beki hazikabi sasa nimeshaimarisha safu ya ushambuliaji. Hadi muda huu wao wanalia Mimi ninacheka.
Uko poa lakini anko. Ulifika salama naamini?
Kukurupuka comSafi sana,sisi hapa wakisema tukapande miti ,mara miti ya kupanda imeisha watu tupo.....mipango mibovu..wakishaonekana kwenye TV CAMPAIN IMEISHA
Kila mtu anajifunza kwa post za mwenzakeUbarikiwe Bitoz kwa hii segment,huwa naipenda sana inanipa ufahamu mkubwa kazi yako ni njema ..ubarikiwe
Njema shemeji Leo nilikuwepo kwenu kinyereziNzuri shemeji za mihangaiko
Wote watasajiliwaKati ya Lukaku na Morata yupi ungependa asajiliwe Man United, kwa maoni yako lakini