BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Mara nyingi ni aleji ,ni muhimu kupima aleji na kujizuia vitu vyote vinvyo trigger pumu,vyakula,vumbi,manukato ila ukipima unajua exactly ni chakula gani..usipojua unaondoka maana utaendelea kula vitu vilevile vinavyokugandamizaDaa hii pumu hii daa aisee
Asante sanaSorry na pole sana ....kiujumla hii hali ni Genetic Disorder au kwa kifupi ni ya kurithi ....ata kama kwenye familia inatokea mmoja anakuwa nayo wengine hawana ni jambo la kawaida na ni kurithi ...yawezekana mzazi mmoja akawa na gens za hii hali ila kwake haikumtokea kimuonekano ...na huyo mzazi milele huwezi kuhisi kama ana pumu ila mambo ya Rhesus factor hasa kwa mtoto mmojawapo ndo inatokea hii hali inajiexpress ....
Pole sana
Ni dawa maisha za kupuliza na kuruhusu upumuaji rahis..Salbutamol inhalersKumbe haina tiba eeh
Na ukifuatilia matibabu na kupulizia inaweza ikapungua attacks au kwisha kabisaKumbe haina tiba eeh
Unataka kusema ilichelewa kujifichua?Utakuwa umezaliwa nayo
Ni kweliBahati mbaya sikuwahi kukutana nae japo sura yake inajulikana
Kuna umuhimu watu tunaoaminiana kufahamiana
Tusisubirii mtu spate janga tuanze kumsifia au pengine kuaga tu mwili wake
.........
Kisiwani nikigamboni karibu na hospitali ya jiji ya vijibweniMfano nasikia jamaa alikua anakaa Kisiwani (nafikiri ni Tabata au Kigamboni) halafu angalia sasa hapo Tabata na Mabibo ninapoishi kwa miguu ni dk 15 tu ndo nasikia msiba ulipo na watasafirisha kupelekea Tanga
....
*GHAFLA TU SERIKALI INAPIGA MARUFUKU MAWIGI NA MEKAUP, HAKI YA MUNGU WATOTO WATASAHAU MAMA ZAO.......
nawaza tu jamani @
Kuna kapuku wa mwanzo mwanzo kavuta
Nafikiri post umeshazipitia
....
Wanasema ..hasa karafuu lakini kama inasababishwa na aleji ni lazima kuepuka hivyo vituNaskia zipo za kienyeji eti
Hii ya kupulizia ndio naiskia Leo mamiiNa ukifuatilia matibabu na kupulizia inaweza ikapungua attacks au kwisha kabisa
Pole sana..ni msiba wetu soteKiukweli kifo chake kimenigusa na kwa kutambua mchango wake kwenye thread hii leo hakutakuwa na segment ninazopost wadau maana hata akili hazijatulia
Kila nafsi itaonja mauti
..........
Poa dadaVipi mdogo wangu...
Kwema.... Nakumiss ujue....
Baadae kidogo mamy.... Niko busy kidogo
Ni hatari sanaNdiooo ni kweli kabisaa yaani ukijipulizia pafyumu utajibeba nakwambia
Ilinitokea kipindi bado sijajua km ni pumu nikapuliza unyunyu bwana fyuuuu....fyuuuu...
Ni sindano cjui inaitwaje ndio nilidungwa nikapata ahueni
Ni kweli kabisaHizo habari naskia mitandaoni tu bado sijapata uhakika
Poa shemela msalimie sana mke mwee nimewamiss mnoooShemela niaje
Hata sisi tunakumiss sana
Ubarikiwe sana
Na siku njema kwako
Asante husna nakuja kula hapoNawe pia
Soma vizuri maelezo ya LeeUnataka kusema ilichelewa kujifichua?