shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ngoja ayaweke sasaNitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa.
Ngoja ayaweke sasaNitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa.
Thanks bitozEnd![]()
.....
Siasani kule ni shidaMi na siasa wapi na wapi mkuu??!!
Jf yangu ni hapa kapuku tu na kidoooogo MMU
Mdogo wako leo yuko wapiAsante mdauu
Aisee, wapi huko mama mchungajiUkitoa kwa wema ,unaongezewa hata wanyama wanashukuru....kuna ndege alikua analishwa na mama mmoja kila akienda kwenye eneo la huyo mama alimpa nafaka na maji...baada ya muda huyu mama alifariki akazikwa..sasa hivi kama kuna mtu anaenda kuangalia kaburi huyu ndege anaongoza hadi kaburini..analizunguka hata kama mtu ni mgeni atalifahamu kaburi..watu wengi wanaenda kimekua kivutio, wema hauozi![]()
MMU, sijawahi kukanyaga /kukodorea macho hukoMi nishaachana na Jukwaa la siasa nikijisikia naendaga kukodoa macho tu
MMU siendi kabisa kumejaa stori za uwongo wa wazi wazi
....
Gari za magazeti sio za kupanda hata kidogoPia ni special case cars
Wanakimbiza hatari muda wa usiku
Ukipewa lift na gari la magazeti unaweza kutapika njiani
....
Uchochezi huuKwann mkuu?!
Ukweli sasa hivi ni hatariPia niligundua kuna watu wapo kimaslahi yaani wapo wanaolipwa na vyama/ wanasiasa kwa shughuli maalum...
Sasa mwenzangu na mimi mtu unashindia uji,vitumbua na togwa kisha unaigaiga tu kutukana viongozi,bwana yule,wanasiasa n.k si utaumia.....Hivyo wanaojitoa ufahamu wanajua walifanyalo na wanachokipata tusiwaige
Pia wengine wapo nje ya nchi hawana wasiwasi na usalama wao
Mimi siku hizi tayari nina marafiki wanaonifahamu hadi sura na baadhi ninapoishi sasa siwezi kumjua yupi rafiki mwema yupi muovu hivyo mambo ya kiherehere inabidi niachana nayo hata hapa KF nishapunguza kumsema bwana yule,viongozi,serikali n.k
.........
Shem kwa naniShemuuu
InterestingTOP TEN
Bendera ni utambulisho wa Nchi,sehemu,tukio n.k
Hata klabu za mpira zina bendera vyama vina bendera na mimi ghetto langu linabendera ya kivyangu vyangu
Sasa tuone bendera zenye maana,historia au muonekano wa kipekee
Karibuni
......
EeehSofa au
AmelalaMdogo wako leo yuko wapi
Hahahacc Obe
.....
Hii Mali gani?!nakuona unavyo kaza buti.. utaki masihara atii! kupoteza mali yako kizembe utaki