Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
maunjanja kwa husna.. usije ukanuna mwaka mzima siku maji yakimwagika
...hata povu halimwagiki itakuwa maji yenyewe
maunjanja kwa husna.. usije ukanuna mwaka mzima siku maji yakimwagika
Kwann mkuu?!
Silipendi tu km One alivyowahi kusema wakuu pekee wa ukweli ni walimuHamna shida mbona
Kwani mwalimu ni mtu ganiiSilipendi tu km One alivyowahi kusema wakuu pekee wa ukweli ni walimu
.....
Duh interestingUkitoa kwa wema ,unaongezewa hata wanyama wanashukuru....kuna ndege alikua analishwa na mama mmoja kila akienda kwenye eneo la huyo mama alimpa nafaka na maji...baada ya muda huyu mama alifariki akazikwa..sasa hivi kama kuna mtu anaenda kuangalia kaburi huyu ndege anaongoza hadi kaburini..analizunguka hata kama mtu ni mgeni atalifahamu kaburi..watu wengi wanaenda kimekua kivutio, wema hauozi![]()
cc ObeKwani mwalimu ni mtu ganii
hahah! sawa mdau...hata povu halimwagiki itakuwa maji yenyewe
![]()
teh teh.. kumbe asili ya neno mkuu ni mwalimu? au nimeelewa vibayaSilipendi tu km One alivyowahi kusema wakuu pekee wa ukweli ni walimu
.....
Sijui aiseeteh teh.. kumbe asili ya neno mkuu ni mwalimu? au nimeelewa vibaya
OoooookNilimaainisha uwe una post kimojakimoja mfano tetesi za usajili zipo 10 sasa upost moja moja inakuwa rahisi kusoma/kujadili
Na dondoo ndo hivyo hivyo
Lugha gongana
......
ShemuuuBasi poaa
Unao wangapi etiKuzaa sio kazi kulea mwana
End![]()
.....
Sofa auMonduli
Fursa hiyoSijafunga PM
basi bgoja nijaribu kukutumia ww
.....
Ni kweli kabisa bitozHaaminiki huyo
David Seaman na Jens Lehmann ndo makipa niliowaelewa pale Gunners waliofuata wote mapazia tu hata Petr Cech kaja wakati makali yashapungua
....
Aisee duhMpendwa wangu mwenyewe. Kama PM humpati tumia barua