Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Acha uoga banaaPia niligundua kuna watu wapo kimaslahi yaani wapo wanaolipwa na vyama/ wanasiasa kwa shughuli maalum...
Sasa mwenzangu na mimi mtu unashindia uji,vitumbua na togwa kisha unaigaiga tu kutukana viongozi,bwana yule,wanasiasa n.k si utaumia.....Hivyo wanaojitoa ufahamu wanajua walifanyalo na wanachokipata tusiwaige
Pia wengine wapo nje ya nchi hawana wasiwasi na usalama wao
Mimi siku hizi tayari nina marafiki wanaonifahamu hadi sura na baadhi ninapoishi sasa siwezi kumjua yupi rafiki mwema yupi muovu hivyo mambo ya kiherehere inabidi niachana nayo hata hapa KF nishapunguza kumsema bwana yule,viongozi,serikali n.k
.........

Tahadhali ni muhimu sanaAcha uoga banaa![]()
![]()
![]()
![]()
Silipendi tu km One alivyowahi kusema wakuu pekee wa ukweli ni walimu
.....

Mmoja tuUnao wangapi eti
Bora muoga kuliko kiherehere asiyejua alifanyalo ila anaiga Na kufuata mkumbo tuAcha uoga banaa![]()
![]()
![]()
![]()
I see!6/Black FlagsHizi zilitumika na taasisi[annarchy]},zilitumiwa pia na watu waliokuwa wakipinga mfumo fulani uliokuwa unawakandamiza![]()
Mfano zilitumiwa na wapinzani dhidi ya serikali kuwasilisha huzuni juu ya wanayofanyiwa
........
Ndio maana kuna wakati wa mapigano wapiganaji husimamisha mapigano kwa madhumuni fulani nadhani hutumia hizi bendera kusitisha kwa muda.asante kwa maelezo7/White Flags![]()
Bendera nyeupe hutumika kama ishara ya kuomba suluhu,kuomba kufikia mwafaka/kukaa meza ya majadiliano
Vitani hutumika kama ishara ya mtu kujisalimisha a.k.a nipo chini ya miguu yako naweka silaha chini, nikamate nimekubali kushindwa
........
Safi wapo tofauti .8/Nepal Flag![]()
Ukiiangalia unaweza kufikiri ni tambala la deki au bendera ya wavuta bangi .....la hasha hii ni bendera ya Taifa
Nepal ndo nchi pekee yenye bendera isiyo ya pembe nne
Rangi nyekundu ni alama ya ushindi vitani
Bluu inawakilisha amani
Wakati nyota na mwezi zina sura ya mtu/ kuwakilisha watu
.....
Ni huko nchi za kiarabu ,kuna ndugu yangu alienda hadi kwenye hilo kaburi,nitatuma clip ya hiyo kitu nikitulia ninayo...yaani ni mambo ya MunguAisee, wapi huko mama mchungaji
Nimekuelewa hapa9/Semaphores Flag![]()
Hizi bendera maalumu kwa ajili ya kumfikishia ujumbe mtu kwa Lugha picha Na ishara
Mfano kwenye mbio za magari,kuongoza magari barabarani,kwenye soka n.k
Mara ya kwanza zilitumika mwaka 1800's wakati wa Battle of Trafalgar ambapo mtu alishika vibendera mkononi na kupungia watu sijui waendesha na utamaduni huu kudumu hadi leo
....
Hongera sanaMmoja tu