Makapuku Forum

Makapuku Forum

489cc292c9fe30c929c841bef26625be.jpg
I see
 
Pia niligundua kuna watu wapo kimaslahi yaani wapo wanaolipwa na vyama/ wanasiasa kwa shughuli maalum...
Sasa mwenzangu na mimi mtu unashindia uji,vitumbua na togwa kisha unaigaiga tu kutukana viongozi,bwana yule,wanasiasa n.k si utaumia.....Hivyo wanaojitoa ufahamu wanajua walifanyalo na wanachokipata tusiwaige

Pia wengine wapo nje ya nchi hawana wasiwasi na usalama wao

Mimi siku hizi tayari nina marafiki wanaonifahamu hadi sura na baadhi ninapoishi sasa siwezi kumjua yupi rafiki mwema yupi muovu hivyo mambo ya kiherehere inabidi niachana nayo hata hapa KF nishapunguza kumsema bwana yule,viongozi,serikali n.k
.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom