Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mpenzi obe nakusalimuuuu
Acha tu ,nilijifunza ukubwani maana hata mimi utotoni niliharibu vingi ,thanks God sikulaumiwa kama hiyo familia ilivyomfanyia huyu mamaHuwa sipendi sana hyo kauli ya kuwa mtt akifanya kosa lawama kwa mama sijui kwann na akifanya vzr hongera kwa baba,ama sabab tuliambiwa mtt mpumbavu ni mzigo wa mamaake
HahahaMpendwa wangu mwenyewe. Kama PM humpati tumia barua
Asante Husna kwa somo ,ubarikiwe sanaFAIDA 8 ZA KITUNGUU MAJI KAMA DAWA.
NA DR. SEIF EL BAALAWY KUTOKA ALJALILA HERBS.
Usijali machozi yanayoletwa na
vitunguu maji ni kama karata dume katika kupigana na
magonjwa. Ni mmea mahiri katika
familia ya lily, vinakupa faida
nyingi kiafya pia yaongeza ladha
nzuri katika chakula chako.
Tuangalia haraka haraka faida
zitokanazo na kula vitunguu maji.
1. Vitunguu maji vina kemikali ambazo
zinasaidia kazi ya Vitamini C katika mwili wako, hivyo kukuongezea kinga ya mwili.
2. Vitunguu maji vinakemikali aina ya
chromium ambayo inasaidia
kudhibiti sukari katika damu.
3. Kwa karne nyingi, vitunguu maji
vimekuwa vikitumika kupunguza uvimbe na kuponya maambukizi.
4. Unafurahia vitunguu maji vilivyokatwa kwenye chakula?
Kama ndio basi furahi! Vitunguu vibichi vinasaidia kutegeneza cholesterol nzuri (HDL) hivyo kuufanya moyo wako kuwa na afya njema.
5. Kemikali yenye nguvu iitwa
quercetin katika vitunguu maji
inatambulika kwa kusaidia kwa
kiasi kikubwa kuzuia saratani
(cancer).
6. Umeumwa na nyuki? Weka
juice ya kitunguu maji eneo ambalo
umeumwa upate nafuu ya maumivu na uvimbe kutowasha.
7. Vitunguu maji vinasaidia kuzuia
vidonda vya tumbo.
8. Sehemu ya kijani (kitunguu maji
kutoka shambani) imejaa
Vitamini A kwahiyo itumie mara kwa mara.![]()
Namshukuru Mungu ananitia nguvu,niko poa kaka za uzima Long time...karibuDada uko poa!
AmenAsante Husna kwa somo ,ubarikiwe sana
Asante dadanguNamshukuru Mungu ananitia nguvu,niko poa kaka za uzima Long time...karibu
Amen mamiiHusna asante kwa habari ya Eichmann ubarikiwe
Mpendwa wangu usinunee nilimfata kwa mambo ya kiofisi tuMpendwa wangu mwenyewe. Kama PM humpati tumia barua
Mpendwa wangu usinunee nilimfata kwa mambo ya kiofisi tu
Mpenzi obe nakusalimuuuu