Shukrani mkuu bitoooziEnd![]()
.....

Hiyo avatar haina tatizo km hushindi Jukwaa la siasaShukrani mkuu bitooozi![]()
Mi na siasa wapi na wapi mkuu??!!Hiyo avatar haina tatizo km hushindi Jukwaa la siasa
Tukutane baadaye
.......
Baadae pale chini ya mwembe?!Hiyo avatar haina tatizo km hushindi Jukwaa la siasa
Tukutane baadaye
.......
haha! punguza wenge mdau.. au ongeza maujanja mambo yatakuwa poa
I see!DID YOU KNOW ?![]()
Nitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa.

Asante mdauuEnd![]()
.....
Lakini yako vizuri,watakua wanajali service sana..
Mbwa wanafundishika na wanakumbukumbu sana ..
Bora alibadili maisha yake,hiyo ndio revenge nzuri
Yaani,hatarihuyu mtoto kibongo bongo na stress zetu angekula kichapo hapo.. baada ya hapo ni kukojoa na kulala
Ukitoa kwa wema ,unaongezewa hata wanyama wanashukuru....kuna ndege alikua analishwa na mama mmoja kila akienda kwenye eneo la huyo mama alimpa nafaka na maji...baada ya muda huyu mama alifariki akazikwa..sasa hivi kama kuna mtu anaenda kuangalia kaburi huyu ndege anaongoza hadi kaburini..analizunguka hata kama mtu ni mgeni atalifahamu kaburi..watu wengi wanaenda kimekua kivutio, wema hauozi

ni malezi tu, watu wanasahau kuwa yule ni mtoto na ananifunza kituYaani,hatari