Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Labda kaifungaNikimtumia MTU message kwenye pm yangu naambiwa "not support medula private message". Inamaanisha nn hiyooo wakuu
Ila mi siyo mtaalamu wa PM
.....
Labda kaifungaNikimtumia MTU message kwenye pm yangu naambiwa "not support medula private message". Inamaanisha nn hiyooo wakuu
Nampenda anipendaye, hata uwe na makinikia usiponipenda sikupendiiiiiKwa nini hunipendi kaka

Naomba assist plzMonduli
Ahaa poaHuyo unaye mpm kafunga pm hukoo... Mshtue tu jukwaani akufungulie
Huyo mtu ni weweLabda kaifunga
Ila mi siyo mtaalamu wa PM
.....
AsanteNampenda anipendaye, hata uwe na makinikia usiponipenda sikupendiiiii![]()
![]()
Ya sh.ngapiNaomba assist plz
Sijafunga PMHuyo mtu ni wewe
Hapana ni ya call tuYa sh.ngapi
Nakuonaa nakuonaaaSijafunga PM
basi bgoja nijaribu kukutumia ww
.....
SawaHapana ni ya call tu
Siwezi kufunga PM kamweNakuonaa nakuonaaa
Basi poaaSiwezi kufunga PM kamwe
Mtu yoyote akiniPM huwa namjibu(sikaushiagi mtu) km mtu hana la maananampotezea kijanja ila siyo kufunga PM au kumblock au kumkaushia
.......
OkSijafunga PM
basi bgoja nijaribu kukutumia ww
.....
Kipa wetu anarudi safi sanaaaTETESI ZA USAJILI ....
Wakuu nimesoma mapendekezo ya Bitoz ila kiukweli kuweka mapema na dondoo itakuwa changamoto ...source inakuwa bado haijaupdate ....
Mshambuliaji wa Spain na Chelsea Diego Costa, 28, anataka kuondoka Stamford Bridge kwa wakati anaotaka yeye, na jambo hilo linachelewesha hatua ya Chelsea kumsajili Romelu Lukaku, 24, kutoka Everton (Daily Mirror).
Antonio Conte anataka Chelsea watoe hata pauni milioni 100 kumsajili Romelu Lukaku, kama Everton wanataka kiasi hicho ili kumuuza (The Telegraph).
Mshambuliaji kutoka Argentina Lionel Messi, 30, atasaini mkataba mpya Barcelona mara tu atakaporejea kutoka kwenye fungate yake baadaye mwezi huu (Goal).
Paris Saint-Germain wanajiandaa kupanda dau jipya la kumtaka mshambuliaji wa Monaco Kylian Mbappe, 18, na wamewasiliana na wawakilishi wa mchezaji huyo (L’Equipe).
Arsenal wanapanga kutoa pauni milioni 70 kuwasajili viungo wawili kutoka Sporting Lisbon ya Ureno, William Carvahlo, 25, na Gelson Martins, 22 (A Bola).
Arsene Wenger atakutana na Alexis Sanchez, 28, na Hector Bellerin, 22, wiki hii kujaribu kuwashawishi wasiondoke Emirates (The Sun).
Everton wana uhakika wa kumrejesha Goodison Park Wayne Rooney, 31, kutoka Manchester United msimu huu (TalkSport).
West Ham United wanataka kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Javier Hernandez “Chicharito” , 29, kutoka Bayer Leverkusen (Telegraph).
Liverpool wanapanga kutoa euro milioni 12 kumsajili kipa wa Sevilla Sergio Rico (ABC Sevilla).
Chelsea wameonesha dalili kuwa wapo tayari kutoa pauni milioni 60 kumsajili beki wa kushoto Alex Sandro kutoka Juventus (Telegraph).
Barcelona wanaongoza katika mbio za kumsajili beki wa Juventus Leonardo Bonucci. Chelsea wanataka kumsajili beki huyo, lakini yeye angependa kwenda Barcelona (Daily Mirror)
.
Inter Milan wanataka kupanda dau la kumtaka mshambuliaji wa PSG Angel di Maria (Tuttosport).
Kipa wa zamani wa Arsenal Jens Lehmann anatarajia kurejea Emirates kama mmoja wa makocha wa kikosi cha kwanza (Guardian).
Gianluigi Donnarumma amekataa kuhamia Paris-Saint-Germain na amekubali kusaini mkataba mpya kusalia AC Milan (Sky Sport Italia).
Kiungo wa zamani wa Manchester United Ravel Morrison, 24, amefanya mazoezi na Birmingham City, akitaka kuhamia klabu hiyo kutoka Lazio (Daily Mirror).
Southampton wanataka kukamilisha usajili wa pauni milioni 8.75 wa mshambuliaji Yann Karamoh, 18, ambaye ana mzozo na klabu yake ya Caen ya Ufaransa (Sun).
Meneja wa Atletico Madrid Diego Simeone ameanza mazungumzo na klabu hiyo kuhusu mkataba mpya utakaompeleka hadi mwaka 2020 (AS).
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anakasirishwa na hatua ya klabu hiyo kutosajili wachezaji zaidi ya Victor Lindelof, 22, peke yake mpaka sasa (Daily Mirror).
Jose Mourinho anataka mshambuliaji Alvaro Morata, 24, kutoka Real Madrid na kiungo Nemanja Matic, 28, kutoka Chelsea wajiunge na kikosi chake kabla ya Jumapili watakapoanza safari ya Marekani ya mechi za maandalizi (Daily Star).
Real Madrid ‘wamekomaa’ na Alvaro Morata hadi Manchester United watakapotoa pauni milioni 79 (Marca).
Kiungo kutoka Guinea Naby Keita, 22, anataka kuhamia Liverpool, lakini klabu yake RB Leipzig inataka pauni milioni 70 (Daily Mirror).
Crystal Palace wameshindwa kulipa pauni milioni 30 wanazotaka Liverpool kwa ajili ya beki wa kati Mamadou Sakho, 27 (Guardian).
Manchester United wanajiandaa kupanda dau kumsajili beki Marc Bartra, 26, kutoka Borussia Dortmund (Manchester Evening News).
Newcastle bado hawajafanikiwa kumsajili kipa Pepe Reina, 34, kwa kuwa Napoli hawajapata mtu wa kuziba nafasi yake (Newcastle Chronicle).
Leicester City wamefanya mazungumzo ya awali na Sevilla kuhusu usajili wa kiungo Vicente Iborra (Sky Sports).
Kipa Wojciech Szczesny amerejea Arsenal kutoka Roma alipokuwa kwa mkopo kwa miaka mwili (Instagram)
Huwa sipendi sana hyo kauli ya kuwa mtt akifanya kosa lawama kwa mama sijui kwann na akifanya vzr hongera kwa baba,ama sabab tuliambiwa mtt mpumbavu ni mzigo wa mamaakeKabisa!!!!nina story ya uchungu iliwahi tokea tukiwa wadogo sikuelewa...kuna watu wangu wa karibu walifiwa na baba wakaachiwa mji,mama yao na wakwe wakabaki hapo ,mtoto wao mmoja siku moja alichukua mkaa akachora nyumba nzima....ilikua kesi nzito,mama akalaumiwa na kuambiwa amemfundisha mtoto,akatukanwa sana na kunyanganywa watoto na kufukuzwa![]()
![]()
![]()
hajui kulea
![]()
![]()
![]()
Nilipokua mtu mzima na Mungu kunijalia kupata watoto ,siku moja mwanangu wa chekechea alifundishwa shule kuandika jina,akajua kuandika na langu....aliporudi nyumbani alichora nyumba nzima jina langu na lake......ningemlaumu nani?
Nililia sana nikakumbuka yule mama![]()
![]()
![]()
alivyohukumiwa,nilitamani niwaelezee bahati mbaya wote hawapo
![]()
![]()
![]()
Hahahaha dogo noma![]()
Tuvumilie upuuzi wa wanetu
![]()
![]()
![]()
....
Haaminiki huyoKipa wetu anarudi safi sanaaa
HakikaPole sana
Watoto watundu ni balaa
Hata sisi tukiwa wadogo kuna mambo ya kipuuzi tulifanya maana "hatukuwa na akili ya kujua jema na baya"
Wapo waliovunja TV,vyombo n.k
Wengine walichana vyeti muhimu vya wana familia
Wengine waliharibu chakula n.k
Utoto bhana
.....
Huyo mtu ni wewe