Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hahaaaa!Naongea main content tu,nataka niwe naww hapa tafadhari nipokee..
[emoji3][emoji3] kutongoza ni kazi eeh?
Hahaaaa!Naongea main content tu,nataka niwe naww hapa tafadhari nipokee..
Emmyta kafanyaje naye?Hahaha
Watakuwa walizogoa kwenye uzi wa watu
Hahaaaa!
[emoji3][emoji3] kutongoza ni kazi eeh?
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Good morning family. ..weekend ndo hiyo tunaisogeza ...
Soon simulizi na UF ...
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Weeeee! Maana yake yupo wa Tanga eeh?
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Woyoooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanasoma kimya kimya
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yap nilikua nakuulizia,naona ww ni mgeni humu halaf nilikua nasiku siingii humu nadhan hunijua..Am mond..Nahitaji tutengeneze comb ya mm na ww..
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Tupo mbele kabisa tunaisubili
UshapendwaaHii mpya..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe sio kufatilia story tuu..
Hadi umeshindwa kumchombeza Demi
Duuuuh ngoma ishafikaa 20lee empire nakuomba ukianza kutupia Story please nakuomba unitag maana leo ndio nimefaham kua humu huwa kuna hadithi..
Muda wangu uko tight sana nashindwa kufaatilia vitu vingine..
-Mond-
[emoji4] [emoji4] [emoji4] na wao watakuwa washauri wakoHao wenye mababy zao mimi ni mshauri wao wa ndoa
Akya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kyaSorry hua sina ujasir wa kuongea mbele za watu please labda uje pm.
Naomba uwe Love wangu