Makapuku Forum

Makapuku Forum

MWANZO 18

1.BWANA akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre,alipokua ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2.Akainua macho yake akaona,na tazama ,watu watatu wamesimama mbele yake ,Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema ,akainama mpaka chini.

3.Akasema BWANA,wangu ,kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.

CHUNGUZA....Mara ngapi MUNGU ametutembelea ili kutuletea majibu ya maombi yetu nasi hatukutambua kwa kutojua?

TUMUOMBE MUNGU atufungue macho ya rohoni ili tumwone kila mara anapokuja kwetu ,kupitia watu,baraka,mapito,na hata furaha ili tumlaki/tuwalaki na kushukuru kwa fadhili za Baba Mungu wetu na KUMUOMBA ASITUPITE...HALELUIYA

NAWATAKIA MCHANA MWEMA MBARIKIWE
Mama mchuchu tumekumis na asantee kwa baraka
 
Leo katika historia itawajia hivi punde tu kwa hisani ya Ibracadabra......
f59cfab0914d79eb7278ed239c6fb7bf.jpg

Woyoooooo
 
Leo katika historia

1/7/ 1961 Princess Diana anazaliwa.
Alikuwa mke wa mtoto wa malkia wa nchini Uingereza azaliwa.
Princess Diana alifariki mwaka 1997 katika ajali ya gari ambayo imebakia kuwa tata hadi leo
Hbd princess diana na upumzike kwa Amani
 
Kufikia hapo basi leo katika historia haina la ziada. Asante kwa Ibracadabra kwa kusababisha hii siku ya leo..
Asanteni sana wote kwa kuwa kuwa pamoja nami asubuhi ya leo. Niite Jimena Jimenes.... Muwe na weekend njema.... Nawapenda wote
Asante sana Jimena kwa historia
 
Nimekuwa vema anko.

Niko POA sana. Sijui wewe leo umeamkaje?


BTW, asante kwa hadithi, iko poa sana. Ni nzuri na sikujua kama itakuwa ikiniumiza akili isipowekwa.

Au na mimi niwe naiquote nzima nzima
Binamu uquote ili iweje jamaan au tusiwekewe story iwe furaha yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom