Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa wale wapenzi wa simulizi ...kapuku tunamalizia kila kitu ikiwa tunaelekea mwisho kabisa wa tuliyoanza nayooo.....soon kuna dude linakujaaaa

............unamjuaa JOHANNES KEPLER, Mjerumani wa kale aliyeishi ndani ya ndoto za GERMAN MACHINE.
Alizaliwa Desember 27, 1571, Na alifariki November 15, 1630. Yeye ndiye mwanahisabati aliyefichua siri nyingi za jua, umbali wa sayari na jinsi zinavyozunguka..............
Hajawahi kutoka nje ya sayari ya tatu (dunia) lakini wanasayansi waliofika sayari ya Mars n.k kupitia michoro yake wakahakiki kile alichokiandika karne nyingi. Mpaka leo tafiti yake ndiyo inayotumika katika mambo ya sayari na jua ingawa aliishi kipindi ambacho dunia haikuwa imeendelea kama sasa.

Lakini mbali ya mengi aliyoyafanya Kepler, bado kuna kitu German Machine alikiona hajafanikiwa na hakuna mtu aliyethubutu kukifichua hiko kitu zaidi yake (German Machine) hali iliyopelekea kuishangza dunia akiwa na umri mdogo.
Je, ni kitu gani?
Na huyu German Machine ni nani hasa?

Usikose kuisoma riwaya ya kipekee duniani itayokuanikia siri nyingi za hesabu, sayari na jua.
Hakika itakushangaza pia utajifunza mengi na utaburudika.
Hapahapa Kapuku .....
Tupo mbele kabisa tunaisubili
 
MWANZO 18

1.BWANA akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre,alipokua ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2.Akainua macho yake akaona,na tazama ,watu watatu wamesimama mbele yake ,Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema ,akainama mpaka chini.

3.Akasema BWANA,wangu ,kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.

CHUNGUZA....Mara ngapi MUNGU ametutembelea ili kutuletea majibu ya maombi yetu nasi hatukutambua kwa kutojua?

TUMUOMBE MUNGU atufungue macho ya rohoni ili tumwone kila mara anapokuja kwetu ,kupitia watu,baraka,mapito,na hata furaha ili tumlaki/tuwalaki na kushukuru kwa fadhili za Baba Mungu wetu na KUMUOMBA ASITUPITE...HALELUIYA

NAWATAKIA MCHANA MWEMA MBARIKIWE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom