BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
MANENO HUUMBA ..TUJITAMKIE MEMA
MANENO HUUMBA ..TUJITAMKIE MEMA
Hakuwa sawa huyu
Umelianzisha mbele za watu na umalizie hapa hapa. Unamuogopa nani?Sorry hua sina ujasir wa kuongea mbele za watu please labda uje pm.
Naomba uwe Love wangu
Umelianzisha mbele za watu na umalizie hapa hapa. Unamuogopa nani?
Mie mzima mamyNipo dada angu hofu kwako
Wifiyo na jovitha wana ban sijui wamezipatia wapiiMie mzima mamy
AiseeeeWifiyo na jovitha wana ban sijui wamezipatia wapii
Duh..naruhusiwa kukukataa?Naongea main content tu,nataka niwe naww hapa tafadhari nipokee..
Nilikutana nao jana mmu kwenye uzi mmoja wote ban masikini hata sijui kilichowasibu na mdogo wako wa hiariAiseeee
Mie sijaona

yule kashajizoelea kila siku banDuh..naruhusiwa kukukataa?
Nilikutana nao jana mmu kwenye uzi mmoja wote ban masikini hata sijui kilichowasibu na mdogo wako wa hiariyule kashajizoelea kila siku ban
HahahaNilikutana nao jana mmu kwenye uzi mmoja wote ban masikini hata sijui kilichowasibu na mdogo wako wa hiariyule kashajizoelea kila siku ban
Huh me sina mshauri mambo yangu namaliza mwenyeweShunie namtaka mshauri wako Demi..
ASSIST ME..
Hahahhh inawezekanaHahaha
Watakuwa walizogoa kwenye uzi wa watu
Safi mamy za kwakoJamani habari ya weekend
Mie sijambo dear labda wwSafi mamy za kwako
EwaaaaaaUmelianzisha mbele za watu na umalizie hapa hapa. Unamuogopa nani?