Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
UchocheziAsantee JJ kwa historia ...ila udhamini huo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mradi wa kufuga vyuraa naona unashamiliiii

UchocheziAsantee JJ kwa historia ...ila udhamini huo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mradi wa kufuga vyuraa naona unashamiliiii

MorningMorning
Natambua udhamini muruaa wa yangaaUchochezi![]()
![]()
Asante kwa nukuu ya leo..NUKUU YA LEO
The United States must choose! It’s up to you whether the nation called the United States exists on this planet or not.”
Marekani inapaswa kuchagua, ni juu yake kama taifa linaloitwa Marekani liendelee kuwepo au lisiwepo
Haya ni maneno yaliyotamkwa na kiongozi wa chama cha worker's party of korea (WKP) na Rais wa Jamhuri ya watu wa Korea.
Kim Jung-un alizaliwa January 8 1984 wakati rekodi za wamarekani zinadai kim alizaliwa July 5 1984.
Kim jong-un ni mtoto wa pili wa mzee Kim jong-il alikuwa Rais na kufariki 2011.
Kim-jong un ana degree mbili , moja ya Fizikia na yingine ni mambo ya kijeshi.
Kim amekuwa na mvutano na kutokuelewana na Marekani na washirika zake kutokana na mpango wake wa kurutubisha na kuzalisha silaha za Nyuklia.
Week iliyopita waliwekewa vikwazo 14 na umoja wa Mataifa ikiwa ni pamoja na kufreeze assets zote za korea zilizoko nje ya korea, hati za kusafiria zimekatazwa pia.
Wakati huo huo marekani anataka kufanya mazungumzo na Korea kaskazini , japo korea amekataa ombi hilo
![]()
![]()
![]()
Kwa ufupi tuu wakuu..
Asante Rafiki kipenz Kwa uf na dondoo za bbc... Uwe na siku njema.Tukutanee baadae kwenye tetesi za usajili kwa wapenda kabumbu ....
Tuwe na siku njema kwa kufanya yampendezayo Allah ...
Basi sawa...Natambua udhamini muruaa wa yangaa
Na wewe piaaAsante Rafiki kipenz Kwa uf na dondoo za bbc... Uwe na siku njema.
Happy birthday to mike ....mtu na rekodi yake make kushinda ubingwa wa dunia wa WBC, WBA, IBF akiwa na miaka 20 ni historia toshaLeo katika historia
30/6/1966 Mike Iron Tyson anazaliwa. Ni mmoja kati ya mabondia hodari kuwahi kutokea hapa duniani katika mchezo wa Masumbwi
Asante kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo mkuu Shululu.View attachment 532834Nawaletea asubuhi njema
Nakumbusha pia Leo ni siku ya Vimondo. Steroids. Kwa hisani ya Jimena!Leo katika Historia tarehe 30/6/2017 haina la ziada.
Ntakuwa sina shukrani ikiwa ntaacha kuwashukuru wadhamini wetu ambao ni Dar es Salaam Young African
Leo katika historia inakusanya kila kilicho chake...
Kumbuka basi ijumaa hii ya leo ulikuwa nami Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ
Mpaka wakati mwingine tena nawatakia weekend njema
T G I F
Nakumbusha pia Leo ni siku ya Vimondo. Steroids. Kwa hisani ya Jimena!

AiseeLeo pilikapilika hadi hujanitengea maji
HahahaSasa wewe mkuu mkeo anaamka mapema wewe umelala![]()
![]()
![]()
Sijambo mzee... Vipi wewe UmeamkajeTumeamka salama... Hujambo Sakayo?
Morning brotherMorning family
Asante kaka.. Nilifundishwa kuwa wa mwisho kulala, na wa kwanza kuamkaSakayo wew ni mke mwema sawa na Mithali za Sulemani...husema mke mwema huamka mapema