Morning jooh!Morning family
Kwema shemu ... Hadithi anaweka mama D ndo alilala na pc janaHbr ya asubuhi shemela,![]()
hadithi na leo haipo
Sakayo wew ni mke mwema sawa na Mithali za Sulemani...husema mke mwema huamka mapema




Morning mkuuMorning jooh!
Shikamoo baba watotoTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Akya kya kya kya kya. ...kiu na hii movie sijui mpaka liniView attachment 532834Nawaletea asubuhi njema
Weee!Sasa wewe mkuu mkeo anaamka mapema wewe umelala![]()
![]()
![]()
Ndo utuachee sasa tupashanee mm na yeye wewe si unaona kulala raha ....Weee!
Acha undazi basi
Ulishaisoma au badoAkya kya kya kya kya. ...kiu na hii movie sijui mpaka lini