Morning ankaliMorning family
Sawa. Wasifanye bado padogo hapajakomaa.Kirat ...![]()
ooh umewasili jimena
Asante kwa salamuNitafikisha salama Bwana Shemeji
MorningMorning family
KaribuuAsante Lee
Twendee kaziiiNa sasa twende tukaangalie Yale yaliyojiri siku kama ya leo Ila zamani
Na ijumaa ya leo basi utakuwa nami Jimena Jimenes
Lakini kwanza tupate maneno mazuri kutoka kwa wadhamini wetu
![]()
Karibuni sana
OoooooohLeo katika historia
30/6/1937 Namba ya kwanza ya dharula (Emergency number) duniani yazinduliwa huko London Uingereza. Namba hiyo ilikuwa 999
Leo katika historia
30/6/1960 Ni siku ambayo nchi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (zamani Zaire) inajipatia uhuru wake kutoka Ubelgiji

AiseeLeo katika historia
30/6/1937 Namba ya kwanza ya dharula (Emergency number) duniani yazinduliwa huko London Uingereza. Namba hiyo ilikuwa 999