Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
AsanteNa baadaye nitaka nikakulishe kituu..
Walahi hutojuta kunifahamu
Nasubiri kwa hamu
AsanteNa baadaye nitaka nikakulishe kituu..
Walahi hutojuta kunifahamu
Sawa Sakayo mke wa THahaha
Sikumaanisha mzee ya uzee... As your name...
KaribuuuuMakapuku ninyi
Ni kweeeli... Nawahi kulala jf but nyumbani nawa wa mwisho kulala... You know what I mean...Kweli?..... Naona kama unawahi kulala na UNAWAHI kuamka.
Uko sahihiNini maana ya Wahenga ?
Nafikiri ni watu wa kale
......
KabisaaKumbe nyie "mnapasha" asubuhi asubuhi
![]()
![]()
![]()
.....
KaribuSawa Sakayo mke wa T
Yeah.... SomehowNi kweeeli... Nawahi kulala jf but nyumbani nawa wa mwisho kulala... You know what I mean...
AthanteKaribu
NakupendaUsijali kabisaa
Sema lingine
Feel just the same
Mie zaidi jamani honeyNakupenda
Leo katika historia
30/6/1937 Namba ya kwanza ya dharula (Emergency number) duniani yazinduliwa huko London Uingereza. Namba hiyo ilikuwa 999
Leo katika historia
30/6/1960 Ni siku ambayo nchi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (zamani Zaire) inajipatia uhuru wake kutoka Ubelgiji
Mzee wa kungoa ushangoa mtu humu jamvini ?Yeah.... Somehow
WanaJf ninyiMakapuku ninyi
Ha ha ha ha ha ha.... Bitoz hilo ni Id name tu.... Have no true meaning whatsoever.... Kama wewe unavyojiita bitoz Sidhani kama wewe ni beetle ....ha ha ha.Mzee wa kungoa ushangoa mtu humu jamvini ?
Au unangoa visiki tu kitaani
![]()
![]()
![]()
.....