Lee naona uko kodoo
si unajua ni lazima kufagiaa mapema ili mkute safii
Sakayo wew ni mke mwema sawa na Mithali za Sulemani...husema mke mwema huamka mapema

Yanakuja shemejiNaamini mmeamka salama...
Shululu amka naomba magazeti mie
Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chakeWakuu tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda usku wa leo na kutuamsha salama ....
Soon U F ...
Morning mkuu ...Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chake
Morning Lee
Asante kwa UFTukutanee baadae kwenye tetesi za usajili kwa wapenda kabumbu ....
Tuwe na siku njema kwa kufanya yampendezayo Allah ...
Pamojaa mme mweeeehAsante kwa UF
KaribuuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO