BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Dear dearling swty switieeeAsante mamy na wewe pia
NjemaHabar za asubuh wandugu
Kweli walamba vitu Vya Mkuu haoGazeti hilo si unalijua
Tunawajua...next

LOWASA MASHAKANI!
Baada ya miaka minne au mitanoTunausubiri umeme
Madaraka matamu,watu kuyaachia wanaona tabuuuMichezo burudani na udaku View attachment 532350
Heee Malinzi mbaroni?why?
Umeamkaje mama mchungajiNjema
Asanteni kwa magazeti na udhamini wakuu Lee na Shululu mbarikiweView attachment 532368Kwa udhamini mnono wa mzee wa peremende
Siku njema
Tukoo poaaWatanzania wenzangu hamjambo!?!?
Mkubhi za uzima karibuAmeleta umeme au afanya mpango wa umeme wa wati hizi!??.
Magazeti Mimi siweze nunua hata kwa bei che!!
Haha asante kurekebisha,je umenielewa?asanteMama mchungaji... Mipaka au mikapa?.... Ha ha ha ha ha ha.
Kitendawili..ona Samia anavyobanwa na kukatishwa tamaa ,huwa sipendi kabisa..na sasa watoto wa kike wasisome wakipata ujauzito..nani atapenya wakati urais umewekewa kiwango cha elimu...imagine lini?Tanzania lini??
Wanajua!Tatizo kujua unapambana na nani, hapo ndio pagumu
Pole dear,nilimanisha MIPAKAHapa sijaelewa kabisa