Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kitendawili..ona Samia anavyobanwa na kukatishwa tamaa ,huwa sipendi kabisa..na sasa watoto wa kike wasisome wakipata ujauzito..nani atapenya wakati urais umewekewa kiwango cha elimu...imagine lini?
390e1ee0636bde93252850de92269f1b.jpg

 
Sana mama... Mimi nawachukia sana wabaguzi wa kidini... Ndo wanaotusababishia vurugu duniani. Wala dini hazifundishi hivyo.
Hata siku moja tumuombe Mungu atuimarishe Upendo,mimi nina ndugu wa damu wa kila imani wabudha,wakristo,RC,Penteoste,Sabato,waislamu,wapagani,wanaoabudu mizimu.....tunaheshimiana.tuna amani tele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom