Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
8/James Hogue
Alizaliwa 1959
Huyu bwana alifanya udanganyifu wa vyeti ili asome Princeton University kama alichofanya Daudi Bashite huku bongo ila huyu mzungu ndo kiboko
Kwanza kabisa alitengeneza/iba vyeti vya marehemu wa miaka 16 aliyekuwa mwanafunzi wa Sekondari huko Nevada kisha akajifanya pia ni yatima kwa vyeti vingine na kufanikiwa kugusa "Mlimani" tena kwa kusoma km yatima na hivyo kupiga assist sehemu kibao ila mwaka wa kwanza tu akaharibu baada ya kuiba baiskeli
Ila mwisho wa Siku utambulisho wake halisi ukagundulika mwaka 1991
......