BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Ubarikiwe Lee wa Shunie kwa hadithi,UF kazi yako ni njema sana asante

Anakaa nyumaYaani wewe Obe mtaalam kwelikweli... Yaani akipiga magoti kuokota wewe 'unakaa kipande gani'?...
Unaweza lala kwa kumbukumbu zile za Mzigua kweeeliMe najua unakoroma
Hujajibu swali hapo juuPamoja sana wadau
.......

Umesahau ya ni kujipodoaWakongo ni maarufu kwa
1/Uchawi
2/Utapeli
3/Muziki
4/Starehe
5/Umaskini
Huo Ndo utambulisho wa Wakongomani Achilia mbali tabia yao ya kupigilia pamba za kuazimana
![]()
![]()
![]()
.......
Pamoja sanaNiko poa kabisa
Asante mkuu ShululuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Asante BABAAsante ee Mungu mwenye enzi kwa kutufikisha tena siku hii ya leo
Sifa,utukufu na enzi ni vyako daima
Wanafamilia natumaini mnaamka salama
Wale ambao wameamka na uchovu wa kuumwa basi Mungu akawape nafuu
Mungu yu mwema
Ubarikiwe Mkuu Shululu,mkuu Clkey kwa magazeti asanteni kazi yenu ni njemaView attachment 531821Sina la ziada kwa udhamini mnono wa Clkey
Nawatakieni siku njema

Morning Jimena ubarikiweMorning family
Nawe pia barikiwaNawatakieni siku njema
UbarikiweAmen, Asante mama mchungaji kwa neno

Kwako sio?Anakaa nyuma
UbarikiweMilele aminaaa mama mchungaji
...haya maua nitaleta jua kali kabisa, nitalinunua kwa shedede huko sumbawanga, yatanyauka yote.
wivu huooPole mpendwaYaani roho yangu inajua namna gani inatamani kukodi mwili mwingine
