shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,896
Na wewe unavyolipenda sasaKumbe jina madenge ulikuwa hulipendi!
Na wewe unavyolipenda sasaKumbe jina madenge ulikuwa hulipendi!
Wewe Ndo umekomaa kuniitaita Madenge siyo silipendi bali nimelichoka
....
Yaap sema madenge anaona hakuna anayeweza zaidi ya Dikteta wakati hapa nimejaribu kiduchu niko foleni narudi zangu homeWala hujavamia kila kitu ni kujaribu
Macho hayo duh
Thanks bitozEnd
.....
Mpendwa wa Obe za jioniMi nitakuita tuu
Hapo safi piga ukiwa umeinama kama mimi
Umrudishe madenge wetu
My swi uko poaUmrudishe madenge wetu
Asante mtoto wa MaoLeo katika historia ...nimevamia fani
Karibu, Dr Manyaunyau aiseeTOP TEN
Umewahi kuombwa assist na msrla aitwaye Rainyundo ? kama tayari kausha tu aisee kama mimi
......Jamaa alikuwa na marafiki wengi humu JF Ila ujaujanja umemponza na ndo mwisho wa ID yake
Tapeli ni tapeli tu awe alidanganya,alikopa,alitoa tiba feki, n.k .....Wazee wengine wa kupiga assist humu JF wanaotajwatajwa sana ni Mzizi mbichi,Kelvin Isisa,na Mtu mwepesi
Kitaifa tunaye James Rugamalira,Andrew Change,Rostam Aziz na Dr Manyaunyau
Tofauti kati ya tapeli na jambazi ni kwamba tapeli anatumia akili kudanganya watu wakati jambazi anatumia nguvu kupora
Sasa tuwaone wazee kumi maarufu wa kupiga assist enzi hizo yaani matapeli/wadanganyifu
NB:
Naandika kiufupi zaidi maana nikiandika kinagaubanga tutakesha bure
Karibuni
......
Afadhali Lee kajitahidiHamna noma kila anayejaribu viatu vinapwaya
Hivyo tu mjue kwamba jamaa anafanyaga kazi kubwa kiasi kwamba wengine tukijaribu tunajikuta tunateteneja
....
Wee umeona eeNa wewe unavyolipenda sasa
UmewezaaYaap sema madenge anaona hakuna anayeweza zaidi ya Dikteta wakati hapa nimejaribu kiduchu niko foleni narudi zangu home
Iko vizuri shem... Keep it up shemelaYaap sema madenge anaona hakuna anayeweza zaidi ya Dikteta wakati hapa nimejaribu kiduchu niko foleni narudi zangu home
wwe etc mbona amekutaja chini kwamba mama mchungaji umuombee
RIP James MadisonLeo katika historia ....
1836- James Madison anafariki dunia ,
Alikuwa rais wa nne wa Marekani
1919- mkataba wa versailles unasainiwa lengo ni kumaliza vita ya kwanza ya dunia