Makapuku Forum

Makapuku Forum

4/Victor Lustig
552c0f98bb7076b43bc337f604d49458.jpg
a958b8693f339f114794bb6f5730f2f3.jpg
ba8e5a5932f1ccf96dd24cc813aa13eb.jpg

Tapeli huyu alizaliwa mwaka 1890 na kufariki dunia 1947
Alikuwa ni tapeli maarufu ....walifanya utapeli mwingi ikiwemo kuwauzia wasafiri ndani ya meli viboksi feki vya kutengenezea pesa(money print) alivyovitengeneza kwa ustadi mkubwa Alikuwa na maneno matatu,mtu snart kimavazi,mjanjamjanja
Tukio lilimpaisha zaidi ni alipofanikiwa kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa kwa kuwauzia mnara wa Paris Paris Elffel Tower mara mbili kwa kuwapa tenda feki ya kuubomoa ili wachukue vyuma chakavu
Kiasi kwamba walipogundua wametapeliwa waliona aibu hata kutangaza kwamba jamaa kawapiga assist.....ilikywa ni aibu kwa watu wa hadhi yao
Jamaa Alikuwa na kanuni yake ya utapeli(kutolewa,kuwa smart,kutokuwa mwongeaji)
.......
 
5/George Parker
861586097424e70ca54101e49023519b.jpg
c88ddad90da59977ee0566d0b815f543.jpg

Alizaliwa 1870
Huyu ni Rainyundo katika historia nchini Marekani ....alifanikiwa hadi kuwatapeli watalii kwa kuwauzia mji(ardhi) ya jiji la New York
Hakuishia hapo, alifanikiwa kuliuza Brooklyn Bridge mara mbili kwa wiki kwa miaka kadhaa
Alifanikiwa kuwatapeli watu kibao pia kwa kuwauzia Madison Square Garden na utapeli kibao ambao naweza kujaza page nzima hapa
Huyu kwangu Ndo mpiga assist japo matapeli wanatogautiana
......
I see wananunua daraja wanalitaka la nini au la kulipia?
 
4/Victor Lusting
552c0f98bb7076b43bc337f604d49458.jpg
a958b8693f339f114794bb6f5730f2f3.jpg
ba8e5a5932f1ccf96dd24cc813aa13eb.jpg

Tapeli huyu alizaliwa mwaka 1890 na kufariki dunia 1947
Alikuwa ni tapeli maarufu ....walifanya utapeli mwingi ikiwemo kuwauzia wasafiri ndani ya meli viboksi feki vya kutengenezea pesa(money print) alivyovitengeneza kwa ustadi mkubwa Alikuwa na maneno matatu,mtu snart kimavazi,mjanjamjanja
Tukio lilimpaisha zaidi ni alipofanikiwa kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa kwa kuwauzia mnara wa Paris Paris Elffel Tower mara mbili kwa kuwapa tenda feki ya kuubomoa ili wachukue vyuma chakavu
Kiasi kwamba walipogundua wametapeliwa waliona aibu hata kutangaza kwamba jamaa kawapiga assist.....ilikywa ni aibu kwa watu wa hadhi yao
.......
Huyu alikua msomi nahisi.... Imagine ana mpaka machine za kutengenezea hela fake.... Halafu mtu unauziwaje mnara ambao sio Mali ya mtu??? Ujinga mtupu Ila ingekuwa bongo ungesikia waliopigwa wanajitetea (alikuja na dawa yani akikwambia kitu wala hukatai) kumbe ubwege mtupu
 
Alijifanya mtu wa serikalini
.......
 
7/Eduardo de Valfierno
d5e8ff95cc4c660e50716ac7728dcf4a.jpg
b33e3ace6487a1e6e5e16bba2cf100d9.jpg

Huyu ni tapeli wa Kiargentina
Huyu bwana ndo aliyefanikisha kuibwa kwa picha ya Monalisa
Alijifanya Marquis na kutafuta watu na kuwalipa kisha wakaiba picha ikiwa Makumbusho mwaka 1921
Baada ya aliyemtuma kuiba na kusepa huyu jamaa akala kamisheni na watunzaji na kutoa kopi 6 za picha hiyo
Na msala ulikuwa mrefu kiasi Ni ngumu juuelezea wote
.......
Aisee duniani kuna vichwa hatari sana
 
6/Soapy Smith
29686da3e0c57aa93065845008eaee1b.jpg
cbcacb41f9ff2c8988f95345448a0613.jpg
Alizaliwa nchini Marekani 1860
Alikuwa ni msanii,tapeli na pia alimiliki genge lililokuwa lokijihusisha na Organised Crimes nchini humo
Alikuwa maarufu kwa kuanzisha "tripe and keister" katika kona zenye msongamano mkubwa wa watu mtaani na na kuuza keki za sabuni(keki feki) na kukusanya makumi kwa mamia ya watu kisha kuanza ujanjaujanja ila mwisho wa siku aliondoka na mpunga mrefu kwa kitapeli
.......
jamaaa alikuwa vizur
 
4/Victor Lustig
552c0f98bb7076b43bc337f604d49458.jpg
a958b8693f339f114794bb6f5730f2f3.jpg
ba8e5a5932f1ccf96dd24cc813aa13eb.jpg

Tapeli huyu alizaliwa mwaka 1890 na kufariki dunia 1947
Alikuwa ni tapeli maarufu ....walifanya utapeli mwingi ikiwemo kuwauzia wasafiri ndani ya meli viboksi feki vya kutengenezea pesa(money print) alivyovitengeneza kwa ustadi mkubwa Alikuwa na maneno matatu,mtu snart kimavazi,mjanjamjanja
Tukio lilimpaisha zaidi ni alipofanikiwa kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa kwa kuwauzia mnara wa Paris Paris Elffel Tower mara mbili kwa kuwapa tenda feki ya kuubomoa ili wachukue vyuma chakavu
Kiasi kwamba walipogundua wametapeliwa waliona aibu hata kutangaza kwamba jamaa kawapiga assist.....ilikywa ni aibu kwa watu wa hadhi yao
Jamaa Alikuwa na kanuni yake ya utapeli(kutolewa,kuwa smart,kutokuwa mwongeaji)
.......
Duh hatari
 
Haaaaahaaaa assit ni kipaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom