Makapuku Forum

Makapuku Forum

f605e7f52946fba7dc5aba0b610562d2.jpg
 
Unategemea nini sasa anko, uone maua yanakupita tu na wewe umesimama yaani bora mstimu naweza kuukwepa ila maua sasa yaani flowers.

Naruhusiwa kuchanganyikiwa mjomba, uongo?


Pole mpendwa wangu jaaamaani

Ujue mie nakuonea huruma saana
 
Morning..
Le Empire
Bitox
Obe
Shimba ya buyenze
Shululu
Musolin5
Husna muba
Nyagei
Werasson
Shunie
Sakayo
Jimena
Etc
Nawamiss sana story zenu na nataman tushinde wote humu but shughuli zinabana..
Mama mchungaji niombe tafadhari
 
Morning..
Le Empire
Bitox
Obe
Shimba ya buyenze
Shululu
Musolin5
Husna muba
Nyagei
Werasson
Shunie
Sakayo
Jimena
Etc
Nawamiss sana story zenu na nataman tushinde wote humu but shughuli zinabana..
Mama mchungaji niombe tafadhari
Miss u too.... Wajibika tu maana bila hivyo watoto wazuri wote utaishia kuwaita shemeji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom