Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kasome post ya utangulizi
Sielezi uchawi wala sijui nini
Kazi yangu ni kuwaletea nchi 10 maarufu zinazoamini katika ushirikina au wananchi wake wanajihusisha nao
Hivyo maswali mengine mtajibiana wenyewe
Kwanza nishaweka msimamo wangu siamini uchawi wala ushirikina na siujui

.......
Sijasema unaelewa uchawi Bitoz au sio Kama sijasoma Post ya Utanguliz Na sio kama NilivoQuote hapo Nilikuwa na kuuliza ww.....
 
Kwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.

Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe

U guys u were more than friends kwangu ni kama family

Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo

I love ya'all.
Kila rakheri
 
Kwahiyo eneo hilo sasa hivi hakuna tena wachawi?
Upoooo...ila kipindi hicho waganga hao walitikisa,wengi walijisalimisha,kuna wazee wawili mke na mume walikutwa na majembe 1000 na zaidi ,baada ya kunywa dawa ,walipoulizwa yanini wakasema wanalimisha watu usiku ,bibi mngine akalia sana kuna kidoli mfano wa ndege (aeroplane) ilichomwa moto alilia sanaaa kuulizwa why akasema anawaogopa wenzake wakija watamuuliza maana walichanga,shilingi laki saba...alilia mno after one week tulimzika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom